Wananchi kata ya kaloleni eneo la tanki la maji waziomba mamlaka kuingilia kati uwepo wa danguro eneo hilo

Sehemu ya nyuma
ya nyumba ambayo Inadaiwa na wananchi hao kuwepo kwa danguro la vijana
wanaotumia madawa ya kulevya na kufanya vitendo vya Ngono na
kusababisha uvunjifu wa amani na utulivu katika eneo la mita miambili
Tanki la maji kata ya Kaloleni jijini Arusha kama lilivyokutwa na
kamera ya matukio jijini Arusha 

Muonekano wa
Nyumba hiyo ambayo wanaishi vijana kwa madai ni hosteli na kuitumia
kama Danguro kama ilivyokutwa na kamera ya matukio jijini Arusha
mapema leo