Kauli ya kwanza ya benard membe baada ya kufutwa uanachama wa ccm

Muda
mfupi baada ya Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa CCM ikiongozwa na
Mwenyekiti na Rais wa Tanzania Dkt Magufuli  kumfuta uanachama wa CCM
Bernard Membe, Waziri huyo wa zaman wa Mambo ya Nje amefunguka na kutoa
kauli.


Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Membe amewataka wafuasi wawe watulivu na kwamba ataliongelea hilo muda si mrefu.