Gari la Polisi nchini Kenya
Mwanamke mmoja aliyetambulika kwa jina la Sharon Achieng (23) kutokea
nchini Kenya, amekamatwa na polisi katika kituo cha Siaya kwa kosa la
kutaka kumuuza mwanaye wa kiume aliye na umri miaka mitano.

Mtuhumiwa huyo alikamatwa kutokea kijiji cha Anduro, ambapo alitaka
kumuuza mwanaye kwa mwanamke aliyejulikana kwa jina la Irene, kwa
shilingi milioni 2 za Kenya sawa na milioni 45 pesa ya kitanzania.

Joseph Aloo ambaye ni kiongozi msaidizi wa kituo hicho cha polisi
amesema, wanamshikilia mtuhumiwa huyo kwa kujaribu kumuuza mwanaye kwa
mtu ambaye anafanya kazi ya ulinzi.

Pia anajitetea kwa kusema alikuwa anashindwa kumlea mtoto huyo peke yake kwa kuwa mume wake amemkimbia.
Aidha kwa upande wa Irene ambaye alipelekewa mtoto huyo ili kumnunua
ameeleza kuwa, Sharon Achieng alimleta mtoto huyo huku akisema yeye ni
yatima na anaishi kwa bibi yake pia hajawahi kuolewa.