Na.Alex Sonna/FullShangwe
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe.
Selemani Jafo,amezitaka halmashauri zote nchini kutoa taarifa Ofisini
kwake juu ya uchukuaji wa mikopo kutoka mabenki ya kibiashara.

Agizo hilo Mhe.Jafo amelitoa leo ofisini kwake jijini Dodoma wakati akizungumza na waandishi wa habari.
Mhe.
Jafo amesema kuwa wale wote waliochukua mikopo na hawajaanza kuitumia
wairudishe haraka ipasavyo kwani Taasisi zote za Serikali zikiwemo
mamlaka za Serikali za Mitaa hazitakiwi kuchukua mikopo kutoka mabenki
ya kibiasha.

“Hayo
ni maelekezo kutoka katika walaka wa Barua ya Katibu Mkuu Hazina barua
ya tarehe 13 /12/2016 barua yenye kumbu kumbu namba CBC.155/233/01 kuwa
taasisi zote za serikali na mamlaka za serikali hazipashi kuchukua mkopo
kutoka benki za kibiashara” Amesisitiza Mhe.Jafo

Aidha Mhe.Jafo amesema kuwa halmashauri yoyote itakayo wasilisha taarfa zisizo sahihi itachukuliwa hatua za kisheria.
“Hivyo
wito wangu kwa halmashauri hizo ni kuwasilisha taarfa sahihi kulingana
na mikopo waliyo chukua kwani udanganyifu wowote utakao bainika kuwa
kuna mikopo ya kimashaka mashaka ambayo haikufuata taratibu sahihi ofisi
itachukua hatua mbali mbali za kisheria” amesema Mhe. Jafo

Hata
hivyo Mhe.Jafo amemtaka Katibu Mkuu OR-TAMISEMI Mhandisi Joseph
Nyamhanga kusimamia wakurugenzi wake wote kuhakikisha wanafanya kazi
kwa kanuni , sheria na taratibu za kazi zinavyowataka kufanya kazi ili
kufikia malengo yanayotakiwa katika utendaji wao.

Jafo
amesema kuwa baada ya halmashauri zote kuwasilisha taarfa hizo katika
ofisi za TAMISEMI itafanya tathimini na kutoa maelekezo baada ya kupima
taarfa zilizo wasilishwa.