Mkuu wa mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongella akizungumza na waandishi wa
habari kuhusu maadhimisho ya miaka 58 ya Uhuru wa Tanzania leo Novemba
27, 2019 Jijini Mwanza, maadhimisho hayo yanafanyika mkoani humo kwa
mara ya kwanza.

Sehemu ya Waandishi wa Habari wakifuatilia mkutano wa Mkuu wa mkoa wa
Mwanza Mhe. John Mongella na waandishi wa habari kuhusu maadhimisho ya
miaka 58 ya Uhuru wa Tanzania Bara leo Novemba 27, 2019 Jijini Mwanza,
maadhimisho hayo yanafanyika mkoani humo kwa mara ya kwanza.

Na Mwandishi Wetu- Mwanza
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya sherehe za miaka 58
ya Uhuru wa Tanzania Bara na miaka 57 ya Jamhuri zinazotarajiwa
kufanyika Kitaifa mkoani Mwanza.

Akizungumza na waandishi wa habari Mkuu wa Mkoa huo Mhe. John Mongella
amesema kuwa maadhimisho hayo yatafanyika Disemba 9, 2019 kwa mara ya
kwanza katika mkoa huo katika uwanja wa CCM Kirumba.

Kauli mbiu ya sherehe hizo ni “ Miaka 58 ya Uhuru na miaka57 ya
Jamhuri:Uzalendo, Uwajibikaji na Ubunifu ni Msingi wa Ujenzi wa Uchumi
wa Taifa Letu,” Alisistiza Mhe. Mongella.

Akifafanua amesema kuwa Shughuli zitakazofanyika wakati wa madhimisho
hayo ni pamoja na gwaride maalum, burudani kutoka kwa wasanii wa kizazi
kipya,ngoma za asili kutoka mikoa ya Mwanza, Kagera na Mara.

Aidha Mhe. Mongella amesema kuwa kutakuwa na shughuli mbalimbali
kuelekea maadhimisho hayo ikiwemo Mashindano ya ngonjera,
Maigizo,Kwaya,Mashairi, Mashindano ya mbio za mitumbwi,Bonanza la
michezo, mchezo wa bao, na mechi ya mpira wa miguu.

Shughuli za kikanda zitakazofanyika ni pamoja Kongamano la Wanafunzi wa
vyuo vya Elimu ya Juu litakalofanyika tarehe 6, Disemba, 2019 Chuo
Kikuu cha Mtakatifu Augustino Mwanza.

Alibainisha kuwa baadhi ya viongozi wanaotarajiwa kuhudhuria sherehe
hizo ni pamoja na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan,Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Kassim Majaliwa na Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi, Mhe Dkt. Ali Mohamed Shein.

Viongozi wastaafu wakiwemo Marais, Makamu wa Rais na Mawaziri Wakuu ni miongoni mwa waalikwa wa sherehe hizo.
Aidha , Mawaziri, Makatibu Wakuu, Wakuu wa Taasisi mbalimbali za
Serikali na Mabalozi wanaowakilisha nchi zao nchini ni miongoni mwa
waalikwa wa sherehe hizo.

Juma la kilele cha maadhimisho hayo litakuwa na shughuli mbalimbali
zitakazofanyika kikanda kuanzia Disemba 2, 2019 hadi tarehe 8 Disemba,
2019 kwenye mikoa ya Kagera, Mara, Geita, Simiyu, Shinyanga na Mwanza