Msanii
wa Muziki na Diwani wa Mwanga Kaskazini, Clayton Chipando ‘Baba Levo’
ameachiwa huru leo baada ya kumaliza hukumu yake ya miezi mitano huku
Mahakama ikijiridhisha kuwa kifungo alichoongezewa kilikuwa batili.

Kabla
ya kuachiwa huru leo, Baba levo alihukumiwa kwenda jela Miezi mitano
Agosti 01, 2019 na Mahakama ya Mwanzo Mwandiga, Kigoma baada ya
kupatikana na hatia ya kumshambulia Askari wa Usalama Barabarani, baadae
alikata rufaa kupinga hukumu hiyo na akaongezewa hukumu