Naibu
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, amesema Serikali imemsimamisha kazi
Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Mbolea nchini (TFC), pamoja na kumuagiza
Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya BAJUTA kuzirudisha haraka iwezekanavyo,
fedha za umma kiasi cha Shilingi Bilioni 4.5.

Waziri Bashe ametoa kauli hiyo leo Bungeni Dodoma, wakati akijibu swali
lililoulizwa na Mbunge wa Chunya, Victor Mwambalaswa, lililokuwa
likihoji nini hatma ya mbolea na viuatilifu vya zao la korosho, ambavyo
licha ya Serikali kutoa pesa ni mwaka sasa umepita mbolea na viuatilifu
hivyo bado viko bandarini.

Akijibu
swali hilo Bashe amesema; “Ni kweli Serikali ilitoa pesa Bilioni 10 kwa
ajili ya kuagiza viuatilifu hivyo na Serikali imemsimamisha Mtendaji
Mkuu wa Kampuni ya TFC kama hatua ya awali kwa uzembe huu”.

“Nitumie
nafasi hii ndani ya Bunge hili kuagiza Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya
Bajuta kurudisha Bilioni 4.5 alizopewa na tumeongea na TPA wamekubali
kutuondolea gharama zote na sasa tuko katika hatua za mwisho kuvitoa
viuatilifu hivyo kabla havijaharibika ili tuweze kuwagawia wakulima”
Bashe.