Kuu ya jimbo la Gauteng imeamuru ndege ya Air Tanzania iliyokuwa
ikishikiliwa nchini Afrika Kusini kuachiwa mara moja na mlalamikaji
alipe gharama za kesi
Ndege hiyo tayari ipo njiani kurejea nchini ikitokea katika uwanja wa ndege wa OR Tambo jijini Johannesburg.
Amesema ndege hiyo iko kwenye taratibu za kuirejesha nchini ndege hiyo na kwamba safari za ndege hiyo zitaendelea kama ilivyokuwa imepangwa hapo awali.
Amesema suala hilo ambalo limeleta taharuki kubwa miongoni mwa Watanzania sasa litaendelea na shughuli zake na kuwataka watanzania kuendelea kuitumia ndege hiyo kwenye safari zao na kwamba huduma zitaendelea kutolewa kama kawaida kwa ubora wa hali ya juu.