Viongozi wanne bodi ya maji makilenga mbaroni kwa ubadhilifu

Mkuu wa Wilaya ya
Arumeru  Jerry Muro akieleza namna Wilaya hiyo inavyosimamia utekelezaji
wa Miradi ili wananchi waweze kunufaika.
Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Meru,Nelson Mafie   akiishukuru serikali
Naibu waziri wa Maji Mhe. Juma  Aweso  akiongea katika kikao cha awali kabla ya kuanza ziara yake
Waliokamatwa kwa tuhuma za kuhujumu mradi maji wakiwa katika kwenye Gari tayari kwakupelekwa Polisi
Na Woinde Shizza ,Arusha

Naibu
waziri wa Maji Mhe. Juma  Aweso, ameagiza jeshi la Polisi Wilaya ya
Arumeru kuwashikilia na kuwaweka chini ya ulinzi  viongozi wanne wa
 bodi ya  Maji MAKILENGA  Halmashauri ya Meru,Wilayani Arumeru kwa
kutuhumiwa  za kufanya ubadhirifu kwenye Mradi huo.
Aweso
ametoa agizo hilo baada ya kubaini uwepo wa ubadhirifu wa fedha za
mradi huo licha ya makusanyo  ya fedha zinazotokana na uchangiaji wa
huduma ya maji kufika  kiasi cha milioni tano (5) kila mwezi bodi
imebakiwa na kiasi kisichozidi milioni moja na nusu tu.
“Haiwezekani
asilimia kubwa ya mradi unatumia vyanzo vya mtiririko matum izi yake
kuwa makubwa kiasi cha kumaliza fedha zote za miaka minne”amehoji Aweso.

Waliokamatwa
kwa tuhuma za kuhujumu mradi huo ni pamoja na mwenyekiti wa Bodi
Godhope Chales,Mhasibu wa Mradi Warialanga Pallangyo,pamoja na fundi
bomba wa mradi huyo anayetambulika kwa jina la Kaaya pia Meneja wa Mradi
huo Orest Manyanga amewekwa chini ya ulinzi kwa kuonesha utovu wa
nidhamu wakati wa kikao cha Naibu waziri na wajumbe wa bodi ya
Makilenga.
Aidha
Aweso ameridhishwa na utekelezaji wa Mradi wa Maji Kiiji cha Kingori
wenye thamani  ya Shilingi bilion 1.5 sambamba na kumpongeza mkandarasi
kwa utendaji mzuri chini ya usamizi wa Uongozi wa Wilaya hiyo.
Haya
yamejiri wakati wa ziara ya Naibu huyo Wilayani Arumeru iliyolenga
kutembelea na kukagua Miradi ya Maji ili kuweza kutambua na kuzitafutia
ufumbuzi changamoto zinazokwamisha utekelezaji wa Miradi ya maji kwa
kuzingatia utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi
imeelekeza mpaka kufikia 2025 upatikanaji wa maji vijijini kuwa asilimia
85 na mjini 95,

Akiongea
na waandishi wa habari  Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Meru,Nelson
Mafie ameipongeza Serikali kwa utatuzi wa changamoto za wananchi
 ambapo imeunda chombo cha wakala wa maji vijijini na Mjini (RUWASA) na
kusema kuwa huu ndio Mwarubaini pekee  wa changamoto za ya maji .

Kwa
upande wa Wananchi  wa wilaya hiyi walitumia mda huo
a Woinde Shizza ,Arusha

upande wa Wananchi  wa wilaya hiyi walitumia mda huo kumpongeza Mkuu wa
Wilaya ya Arumeru Jerry Muro  kwa kutumia fedha zake kumgaramia nauli
ya Mzee Senyaeli Mbise Maarufu kama  Lemali, ambaye ni fundi mwenye
uelewa wa mradi wa Maji MAKILENGA kurudi kuendelea na kazi hiyo baada ya
fundi aliyekuwepo kuwa kikwazo kwenye utendaji Wa mradi huo.

“Kwekweli
tunamshukuru Rais wetu kwakutuletea kiongozi ambaye anaupendo na
wananchi ,anafanya Kazi vyema ya kutatua kero za wananchi na anaejituma
na mchapakazi kwani tangu amekuja ameweza kutatua kero na changamoto
mbalimbali zinazotukabili kwekweli mungu amueke pia tumpongeze pia Rais
wetu kwa kufanya Kazi vizuri ya kuwajali wananchi maana bila yeye ata
viongozi bora tusingewapata kwani vijana wake aliowateuwa wanafanya Kazi
nzuri kulingana na Kazi yake “alisema  Charles akyoo
kumpongeza Mkuu wa