Wadau wa usafirishaji wagomea latra rasimu mpya ya sheria ya usafirishaji

kaimu katibu mkuu wizara ya Ujenzi mawasiliano na uchukuzi Haron kisaka
akiongea na wadau wa huduma za usafirishaji kanda ya kaskazini
inayosimamiwa na Latra kwenye ukumbi wa mkuu wa mkoa Arusha Leo jijini
hapa Picha na Ahmed Mahmoud Arusha

Add caption
Meza kuu  wakimsikiliza Mkurugenzi wa huduma za uchukuzi na usafirishaji
wizara ya Ujenzi mawasiliano na uchukuzi Haron Kisaka wakati akifungua
mkutano wa wadau wa huduma za usafirishaji kanda ya kaskazini
inayosimamiwa na Latra kwenye ukumbi wa ofisi ya mkuu wa mkoa Arusha Leo
jijini hapa picha na Ahmed Mahmoud Arusha
Add captionPichani ni sehemu ya wadau wa huduma za usafirishaji kanda ya kaskazini
inayosimamiwa na Latra wakifuatilia hotuba ya ufunguzi wa mkutano wao na
Latra kwenye ukumbi wa ofisi ya mkuu wa mkoa Arusha Leo jijini hapa
picha na Ahmed Mahmoud Arusha