Na Mapuli Kitina Misalaba
Katibu wa Siasa,uenezi
na mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi CCM
Taifa Mhe. Paul Makonda amewataka watumishi wa Serikali kuwahudumia Wananchi
kwa haki na usawa na kwamba watakaobainika kushindwa kuwahudumia
wananchi hawatavumiliwa.
Ameyasema hayo leo Jumapili Januari 28,2024 kwenye mkutano wa hadhara
uliofanyika kwenye uwanja wa michezo wa shule ya msingi Town mjini Shinyanga
ambapo pamoja na mambo mengine amesisitiza viongozi kutimiza wajibu wao kwa
wananchi wote bila kujali hali zao.
Mhe. Makonda ametahadharisha watumishi hao wa serikali wanaoshindwa kuwahudumia
wananchi, kutetea na kulinda maslahi yao ambapo amesema kipaumbele chake ni
kuhakikisha wananchi wote wanahudumiwa kwa haki na usawa.
Pia ameonya kuhusu watumishi wanaotumia vyeo vyao kuminya haki za
wananchi na kwamba watashughulikiwa kwa mujibu wa sheria.
“Yule anayeonea watu anayethurumu watu anayetumia cheto chake bila kujali
utu huyo sitakuwa sehemu yake na kwa namna hii naomba niwaambie watumishi wa
serikali wote wa ngazi zote, ukiharibu Chama hiki cha Mapinduzi msemaji wake ni
Makonda siwezi kukutetea utabeba mzigo wako mwenyewe”.
“Kwahiyo kama kuna mtumishi amezoea kuwanyima haki wananchi kama kuna
mtumishi hawathamini wananchi kama waajili wake CCM ya Samia haitambeba na
msemaji wake ni Makonda nitafanya kwa mujibu wa sheria”.amesema Mhe. Makonda
Katibu huyo pamoja na mambo mengine amesikiliza na kutatua kero za
wananchi kutoka Halmashauri za Mkoa wa Shinyanga waliojitokeza kwenye mkutano
huo ambapo wamemshukuru na kumpongeza
kwa hatua hiyo ya kusikiliza changamoto zao.
Katibu wa Siasa,uenezi
na mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi CCM
Taifa Bwana Paul Makonda leo ametatua changamoto za wananchi wa Mkoa wa
Shinyanga ikiwa ni sehemu ya ziara yake katika Mikoa mbali mbali Nchini ambapo
jana alikuwa Wilayani kahama na kwamba
Mkoa wa Shinyanga ni Mkoa wa 9 katika ziara zake.
Aidha mkutano
umehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Dini, Vyama vya siasa, viongozi wa
kimila pamoja na viongozi wa Serikali akiwemo Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe.
Christina Mndeme, mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Mhe. Johari Samizi, Kamanda wa jeshi
la Polisi Mkoa wa Shinyanga kamishna msaidizi wa Polisi Janeth Magomi, Mbunge
wa Jimbo la Shinyanga mjini Mhe. Paschal Patrobas Katambi, Mbunge wa jimbo la
Msalala Mhe. Idd Kassim, Mkurugenzi wa Manispaa ya Shinyanga pamoja na wataalam
kutoka idara mbalimbali.
Katibu wa Siasa,uenezi
na mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi CCM
Taifa Mhe. Paul Makonda akiwasili kwenye mkutano wa hadhara akiwa amepanda
kwenye Lori.
Katibu wa Siasa,uenezi
na mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi CCM
Taifa Mhe. Paul Makonda akiwapungia mkono wananchi baada ya kuwasili katika uwanja wa Shule ya Msingi Town mjini Shinyanga.
Wakazi wa Mkoa wa
Shinyanga wakiwa kwenye mkutano wa hadhara wakimsikiliza Katibu wa Siasa,uenezi
na mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi CCM
Taifa Mhe. Paul Makonda.

Shinyanga wakiwa kwenye mkutano wa hadhara leo Jumapili Januari 28,2024 katika uwanja wa michezo Shule ya Msinga Town iliyopo Manispaa ya Shinyanga.
Wakazi wa Mkoa wa Shinyanga wakiwa kwenye mkutano wa hadhara leo Jumapili Januari 28,2024 katika uwanja wa michezo Shule ya Msinga Town iliyopo Manispaa ya Shinyanga.
Wakazi wa Mkoa wa Shinyanga wakiwa kwenye mkutano wa hadhara leo Jumapili Januari 28,2024 katika uwanja wa michezo Shule ya Msinga Town iliyopo Manispaa ya Shinyanga.
Wakazi wa Mkoa wa Shinyanga wakiwa kwenye mkutano wa hadhara leo Jumapili Januari 28,2024 katika uwanja wa michezo Shule ya Msinga Town iliyopo Manispaa ya Shinyanga.
Katibu wa Siasa,uenezi
na mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi CCM
Taifa Mhe. Paul Makonda akiwa katika zoezi la kuwalishwa mavazi ya Kimila na
kukabidhiwa silaha za kimila katika uwanja wa michezo shule ya Msingi Town
mjini Shinyanga.

Shinyanga mjini Mhe. Paschal Patrobas Katambi akizungumza kwenye mkutano huo leo Jumapili Januari 28,2024.
Mkutano huo wa hadhara ukiendelea leo Jumapili Januari 28,2024 katika uwanja wa michezo Shule ya Msinga Town iliyopo Manispaa ya Shinyanga.

Shinyanga mjini Mhe. Paschal Patrobas Katambi akionesha fedha Shilingi Milioni
mbili zilizotolewa na wananchi wa Jimbo hilo kwa kumchangia Dkt. Samia Suluhu
Hassan kuchukua fomu ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
kwenye uchaguzi mkuu Mwaka ujao 2025
Katibu wa Siasa,uenezi
na mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi CCM
Taifa Mhe. Paul Makonda akizungumza kwenye mkutano hu oleo Jumapili Januari
28,2024.