Na Mapuli Misalaba, Shinyanga
Mbunge wa jimbo la Kishapu Mhe. Boniphace
Butondo amesema ni vyema Mamlaka ya majisafi na usafi wa mazingira Kahama
Shinyanga (KASHWASA) kutatua haraka changamoto ya kukatika kwa maji mara kwa
mara ambapo hali hiyo inasababisha usumbufu
kwa watumiaji wa huduma hiyo majumbani na kwenye maeneo ya Biashara.
Mhe. Butondo ameyasema hayo leo kwenye
kikao cha kawaida cha kamati ya ushauri ya Mkoa wa Shinyanga ambapo amesema
katika Jimbo la Kishapu upatikanaji wa majisafi na salama kutoka Ziwa Victoria yanayowezeshwa
na KASHWASA yamekuwa yakitoka mara moja kwa wiki.
Ametumia nafasi hiyo kuisisitiza mamlaka
ya KASHWASA kuhakikisha inatimiza wajibu katika kuwafikishia huduma bora ya
maji wakazi wa Jimbo la Kishapu ili kuzuia athari zinazoweza kujitokeza ikiwemo
mlipuko wa magongwa kama vile kipindupindu na magongwa mengine.
Mbunge wa wa jimbo la Kishapu Mhe. Butondo
ameeleza kuwa siku za hivi karibuni amekuwa akipokea malalamiko kutoka kwa
wananchi wakidai kuwa ni usumbufu na kwamba imekuwa ikisababisha hatari katika
uendeshaji wa shughuli za kibiashara ambazo zinategemea huduma ya maji.
“Jimbo
la Kishapu kama tunaadhabu maana hatupati maji sawa sawa tatizo kubwa lililopo tunapata
maji kwa wiki mara moja wakati mwingine wiki mbili hatujapata maji ya Ziwa
victoria ile maana ya kumtoa mama ndoo kichwani tunaenda kuipoteza sasa hili
KASHWASA ni lazima mseme tatizo kubwa hasa ni nini kwa sababu kama ni fedha mnafanya
biashara na mnapata fedha, fedha ile mnapaswa kuirudisha ije kuhudumia miradi
ya wananchi”.
‘Mimi
na mkuu wa Wilaya ya Kishapu tumewahi
kuwatembelea KASHWASA ofisini kwenu ilikuwa ni Mwaka wa fedha uliopita mkaahidi
mwaka wa fedha huu ambao tunao kwamba zingetengwa fedha kwa ajili ya ununuzi wa
mabomba ya maji ili mfanye ukarabati mkubwa lakini mpaka sasa mwaka unaelekea
kuisha sasa pengine mgezungumza na sisi tukajua aidha ipo changamoto kwenye
wizara ya maji”.amesema Mhe. Butondo
Baadhi ya viongozi waliohudhuria kikao
hicho akiwemo mbunge wa jimbo la Shinyanga mjini Mhe. Paschal Patrobas Katambi na mganga mfawidhi wa Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Shinyanga Dkt.
Luzila John wameiomba Mamlaka ya majisafi na usafi wa mazingira Kahama
Shinyanga (KASHWASA) kuwa na utaratibu wa kutoa ratiba ya uhakika ili
kuwawezesha watumiaji kuhifadhi maji ya kutosha,kuliko hivi sasa ambapo taarifa
zinazotolewa zinakuwa hazieleweki.
Kwa upande wake mkuu wa Mkoa wa Shinyanga
Mhe. Christina Mndeme amesema halidhishwi na mamlaka ya KASHWASA katika
shughuli za ugawaji maji huku akiiagiza kutatua changamoto hiyo kwa haraka ili kuondoa usumbufu kwa wananchi.
Amesema serikali ya awamu wa sita
inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imetoa fedha zaidi ya Bilioni mia
moja kwa ajili ya uboreshaji wa huduma ya maji Mkoa wa Shinyanga.
RC Mndeme ameitaka KASHWASA kufuta ratiba
ya mgao wa maji ambayo imetoka wakati changamoto ya maji ikiendelea huku akiwahimiza kutatua haraka
changamoto iliyopo.
Mkurugenzi mtendaji wa KASHWASA mhandisi Patrick Nzamba amekili
kuwepo kwa changamoto zilizosababisha mgao wa maji ambapo ameahidi kuendelea
kushughulikia changamoto zilizopo ili kuondoa usumbufu unaojitokeza.
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina
Mndeme akiitaka KASHWASA kutatua changamoto ya ukosefu wa maji.
Mbunge wa jimbo la Kishapu Mhe. Boniphace
Butondo akiisisitiza KASHWASA kutatua changamoto ya kukatika maji mara kwa mara
katika Jimbo la Kishapu Mkoani Shinyanga.

Mkurugenzi mtendaji wa KASHWASA mhandisi Patrick Nzamba akijibu maswali
mbalimbali yaliyoulizwa na viongozi mbalimbali kwenye kikao cha kawaida cha kamati ya ushauri ya Mkoa wa
Shinyanga.
Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Mhe. Johari
Samizi na katibu wa CCM Mkoa wa Shinyanga Bi. Odilia Batimayo upande wa kulia
wakiwa katika kikao cha kawaida cha kamati ya ushauri ya Mkoa wa Shinyanga.
Kikao cha kawaida cha kamati ya ushauri ya
Mkoa wa Shinyanga kikiendelea katika
ukumbi wa mkuu wa Mkoa wa Shinyanga leo Ijumaa Disemba 15,2023.

Mbunge wa jimbo la Shinyanga mjini ambaye
pia ni naibu waziri ofisi ya waziri mkuu anayeshughulikia kazi, vijana, ajira
na wenye ulemavu Mhe. Paschal Patrobas Katambi akizungumza kwenye kikao hicho
leo Ijumaa Disemba 15,2023.
Mbunge wa jimbo la Shinyanga mjini ambaye pia ni naibu waziri ofisi ya waziri mkuu anayeshughulikia kazi, vijana, ajira na wenye ulemavu Mhe. Paschal Patrobas Katambi akizungumza kwenye kikao hicho leo Ijumaa Disemba 15,2023.
Katibu wa CCM Mkoa wa Shinyanga Bi. Odilia Batimayo akizungumza kwenye kikao hicho leo Ijumaa Disemba 15,2023.Kikao cha kawaida cha kamati ya ushauri ya