Mwenyekiti wa TUGHE Mkoa wa Shinyanga
ambaye pia ni mjumbe wa kamati ya utendaji ya Baraza kuu Taifa (KUBK) Dkt.
Allan Masanja akifungua mafunzo hayo leo Jumatano Novemba 22,2023
katika ukumbi wa Liga Hotel.
Na Mapuli Misalaba, Shinyanga
Chama cha wafanyakazi wa serikali na Afya
Tanzania TUGHE Mkoa wa Shinyanga kimefanya mafunzo kwa viongozi wa matawi leo
Jumatano Novemba 22,2023 yaliyohudhuriwa
na wadau mbalimbali kutoka kwenye taasisi za umma.
Awali akifungua mafunzo hayo Mwenyekiti wa
TUGHE Mkoa wa Shinyanga ambaye pia ni mjumbe wa kamati ya utendaji ya Baraza
kuu Taifa (KUBK) Dkt. Allan Masanja amewakumbusha watumishi wa umma kuendelea kutimiza
wajibu wao katika sehemu zao za kazi.
Mwenyekiti huyo amesisitiza watumishi wa
umma kuwa na nidhamu na kuhakikisha wanazingatia sheria, kanuni na taratibu
zilizopo ili kujiepusha na migogoro kwenye sehemu za kazi.
“Usimamizi
wa nidhamu ni suala muhimu kwa ustawi wa taasisi za umma na serikali kwa
ujumla, bila kuwa na watumishi wenye nidhamu nzuri haitakuwa na maana hata
wakiwa na uwezo mkubwa kiutendaji, hivyo ni wajibu wetu watumishi wa umma
kuzingatia sheria, kanuni na taratibu zinazotuongoza kwani nidhamu ni upande wa
pili wa shilingi ya ufanisi katika kazi”.amesema
Dkt. Allan
Katibu wa TUGHE Mkoa wa Shinyanga ,
Ramadhani Pangara pamoja na mambo mengine amewataka watumishi wa umma kujiepuka
na makosa yanayopelekea kuondolewa kazini ikiwemo kutenda au kuwa na dhamira
ovu ya kufanya vitendo viovu kama vile vitendo vinavyohusu Rushwa na wizi.
Ametaja makosa mengine yanayoweza
kusababisha kuondolewa kazini ambayo ni kumdharau mwajiri, utoro kazini kwa
muda wa zaidi ya siku tano bila ruhusa au sababu za msingi, uzembe
unaosababisha hasara kwa mwajiri pamoja na kukataa au kukaidi kwenda katika
kituo cha kazi alichopangiwa.
“Watumishi
tuepuke kutenda au kuwa na dhamira ya kufanya vitendo viovu vinavyodhalilisha
utumishi wa umma, kutumia bila kibali au idhini ya mamlaka halali mali au vifaa
vya umma kwa manufaa binafsi, kujihusisha na kazi au shughuli yoyote nje ya
kazi za kiofisi kwa kutumia wadhifa au cheo kinyume na maslahi ya umma lakini
pia kosa la mtumishi kushindwa kutekeleza ipasanyo majukumu yake anaweza
kuondolewa kazini, kutoa taarifa za siri kinyume na sheria ya usalama wa Taifa
sura ya 47, kutenda au kuwa na dhamira ya kutenda jambo kinyume na maslahi ya
umma, kushindwa kutekeleza majukumu kwa ufasaha au ukamilifu kutokana na
matumizi ya Pombe au madawa ya kulevya”.
“Makosa
mengine ni uzembe uliokithiri katika kutekeleza majukumu yako, ukiukwaji wa
maadili ya utumishi wa umma na maadili ya viongozi wa umma, kutenda makosa
mepesi mara nne mfululizo, kutenda au kuwa na dhamira ovu ya kufanya matendo
yanayokiuka sheria serikali mtandao naya uhalifu wa kimtandao na ile inayohusu
masuala ya uhujumu uchumi, kutenda au kuwa na dhamira yakufanya matendo
yanayokiuka sheria ya masuala ya Rushwa sura 329 pamoja na kutenda au kuwa na
dhamira ovu ya kufanya matendo yanayokiuka sheria ya kupambana na kuzuia madawa
ya kulevya ya sura 95 haya ndiyo baadhi ya makosa yanayoweza kusababisha
mtumishi afukuzwe kazini”.amesema Pangara
Katibu wa TUGHE Mkoa wa Shinyanga
Ramadhani Pangara ameelezea mambo mbalimbali kwenye mafunzo hayo ikiwemo dhana
ya usimamizi wa nidhamu, amefafanua kuhusu mamlaka za nidhamu, mwenendo wa
hatua za nidhamu au taratibu za kuendesha nidhamu, changamoto, masharti ya
lazima ya kisheria ya kuzingatia pamoja na mambo ya kuzingatia kwenye hati ya
mashtaka huku naye akisisitiza watumishi wa umma kuzingatia maadili, sheria,
kanuni na taratibu zilizopo.
Kwa upande wake Mwenyekiti wa wanawake
TUGHE Mkoa wa Shinyanga na mjumbe wa mkutano mkuu Taifa ambaye pia ni afisa
muuguzi msaidizi katika Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Shinyanga Experantia
Misalaba ameelezea kuhusu udhibiti wa magonjwa sugu yasiyoambukizwa mahali pa
kazi katika utumishi wa umma.
Amesema magonjwa hayo ni pamoja na
magonjwa ya mishipa ya damu ya moyo, Kisukari aina ya kwanza, mfumo wa hewa
(Pumu) , magonjwa sugu ya kurithi, Macho, Figo, kuvimba tenzi ya shingo,
magonjwa ya afya ya akili (kifafa), Saratani
pamoja na magonjwa ya misuli na mifupa.
Aidha katika semina hiyo imetolewa elimu
na viongozi wa Public Service Social Security Fundi (PSSSF) juu ya mambo
mbalimbali ikiwemo fomla ya kulipa mafao kwa watumishi wa umma (Kikokotoo) huku
mwakilishi kutoka taasisi ya mfuko wa Taifa wa bima ya Afya akieleza faida za
kujiunga na bima hiyo.
Mwenyekiti wa TUGHE Mkoa wa Shinyanga
ambaye pia ni mjumbe wa kamati ya utendaji ya Baraza kuu Taifa (KUBK) Dkt.
Allan Masanja akizungumza kwenye mafunzo hayo leo Jumatano Novemba 22,2023
katika ukumbi wa Liga Hotel.
Katibu wa TUGHE Mkoa wa Shinyanga ,
Ramadhani Pangara akizungumza kwenye mafunzo hayo leo Jumatano Novemba 22,2023

Mafunzo ya viongozi wa matawi TUGHE Mkoa
wa Shinyanga yakiendelea leo Jumatano Novemba 22,2023 katika ukumbi wa Liga
Hotel uliopo Manispaa ya Shinyanga.

Mwenyekiti wa wanawake TUGHE Mkoa wa
Shinyanga na mjumbe wa mkutano mkuu Taifa ambaye pia ni afisa muuguzi msaidizi
katika Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Shinyanga Experantia Misalaba akitoa mada
ya udhibiti wa magonjwa sugu yasiyoambukizwa mahali pa kazi katika utumishi wa
umma.
Mwenyekiti wa wanawake TUGHE Mkoa wa
Shinyanga na mjumbe wa mkutano mkuu Taifa ambaye pia ni afisa muuguzi msaidizi
katika Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Shinyanga Experantia Misalaba akitoa mada
ya udhibiti wa magonjwa sugu yasiyoambukizwa mahali pa kazi katika utumishi wa
umma.
Mwenyekiti wa wanawake TUGHE Mkoa wa
Shinyanga na mjumbe wa mkutano mkuu Taifa ambaye pia ni afisa muuguzi msaidizi
katika Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Shinyanga Experantia Misalaba akitoa mada
ya udhibiti wa magonjwa sugu yasiyoambukizwa mahali pa kazi katika utumishi wa
umma.
Mwenyekiti wa wanawake TUGHE Mkoa wa
Shinyanga na mjumbe wa mkutano mkuu Taifa ambaye pia ni afisa muuguzi msaidizi
katika Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Shinyanga Experantia Misalaba akitoa mada
ya udhibiti wa magonjwa sugu yasiyoambukizwa mahali pa kazi katika utumishi wa
umma.
Mwenyekiti wa TUGHE Mkoa wa Shinyanga
ambaye pia ni mjumbe wa kamati ya utendaji ya Baraza kuu Taifa (KUBK) Dkt.
Allan Masanja akizungumza kwenye mafunzo hayo leo Jumatano Novemba 22,2023
katika ukumbi wa Liga Hotel.
Katibu wa TUGHE Mkoa wa Shinyanga ,
Ramadhani Pangara akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi PSSSF baada ya
mafunzo hay oleo Jumatano Novemba 22,2023.

Picha ya pamoja ya viongozi wa matawi TUGHE Mkoa wa Shinyanga baada
ya mafunzo leo Jumatano Novemba 22,2023
katika ukumbi wa Liga Hotel uliopo Manispaa ya Shinyanga.