Na Mapuli Misalaba, Shinyanga
Mwenyekiti wa kampeni ya shujaa wa
maendeleo na ustawi wa jamii Tanzania (SMAUJATA) Mkoa wa Shinyanga Bi. Nabila
Kisendi amewasihi wanafunzi wa Tinde Girls High school kusoma kwa bidii na
kuacha tamaa zinazopelekea athari mbalimbali ikiwemo ukatili.
Ameyasema hayo Jumatano Oktoba
18,2023 wakati viongozi wa SMAUJATA Mkoa wa Shinyanga wakitoa elimu ya ukatili
katika shule hiyo ya Tinde Girls High school iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya
Shinyanga.
Bi.Nabila Kisendi amewasihi wanafunzi
hao kusoma kwa bidii ili waweze kufikia malengo yao huku akiwasisitiza kuepuka
tamaa ikiwa ni pamoja na kujiepusha na mahusiano ya kimapenzi wakati bado
wanasoma.
Amesema athari za kuwa kwenye mahusiano
ya kimapenzi wakati bado wanafunzi ni mimba na ndoa za utotoni ikiwa ni pamoja na
athari za magonjwa mbalimbali hali ambayo inatajwa kukwamisha ndoto nyingi za
wanafunzi wa kike.
Pamoja na mambo mengine Mwenyekiti
Kisendi amewasisitiza wanafunzi hao kuwa na uthubutu ambapo amewaomba
kutofumbia macha ukatili wowote wanaokutana nao
na kwamba wanapaswa kutoa taarifa sehemu husika ili hatua zaidi ya
kisheria ziweze kuchukuliwa na serikali.
Viongozi wengine akiwemo katibu wa
SMAUJATA Mkoa wa Shinyanga Bwana Daniel Kapata, Mwenyekiti idara ya maadili
SMAUJATA Mkoa wa Shinyanga Bwana Solomon Nalinga (Cheupe), Mwenyekiti idara ya
Michezo SMAUJATA Mkoa wa Shinyanga afande Willa Alkwin, Mwenyekiti wa SMAUJATA
Manispaa ya Shinyanga Stella Gershom pamoja na katibu wa SMAUJATA Manispaa ya
Shinyanga Hasna Maige wametoa elimu ya ukatili katika shule hiyo ya Tinde Girls
High school.
Viongozi hao wamezungumzia athari za aina
mbalimbali za ukatili ikiwemo ukatili wa kijinsia, ukatili wa kisaikloji na
ukatili wa kingono huku wakiwasihi wanafunzi hao kuepukana na vitendo vya ukatili kwa kuhakikisha wanatoa taarifa za
ukatili unaofanyika hasa shuleni, kutoa taarifa kwa walimu au kupiga simu namba
ya bure 116.
Baadhi ya wanafunzi wa Tinde Girls
school wamewapongeza viongozi wa SMAUJATA Mkoa wa Shinyanga kwa kutoa elimu
hiyo ambapo wamesema itawasaidia kujilinda ili waweze kufikia malengo yao huku
wakiahidi kuwa mabalozi wazuri wa kupambana na ukatili unaoendelea kufanyika.
SMAUJATA ni kampeni ya kupinga ukatili
inayotekeleza majukumu yake chini ya wizara ya maendeleo ya jamii, jinsia,
wanawake na makundi maalum ambapo SMAUJATA Mkoa wa Shinyanga imeendelea kutoa
elimu ya ukatili katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Shinyanga.
Mwenyekiti wa kampeni ya shujaa wa
maendeleo na ustawi wa jamii Tanzania (SMAUJATA) Mkoa wa Shinyanga Bi. Nabila
Kisendi akitoa elimu ya ukatili kwa wanafunzi wa Tinde Girls High school iliyopo
Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga.

Katibu wa kampeni ya shujaa wa maendeleo
na ustawi wa jamii Tanzania (SMAUJATA) Mkoa wa Shinyanga Bwana Daniel Kapaya
akitoa elimu ya ukatili kwa wanafunzi wa Tinde Girls High school iliyopo

Mwenyekiti wa idara ya maadili SMAUJATA
Mkoa wa Shinyanga Bwana Solomon Najulwa (Cheupe) akitoa elimu ya ukatili unaosababishwa na
mmomonyoko wa maadili kwa wanafunzi wa Tinde Girls High school iliyopo

Mwenyekiti wa idara ya Michezo SMAUJATA
Mkoa wa Shinyanga ambaye pia ni Polisi wa kata ya Ndala Manispaa ya Shinyanga, afande
Alkwin Willa akizungumzia umuhimu wa Michezo
kwa wanafunzi wa Tinde Girls High school
iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga.

Mwenyekiti wa SMAUJATA kanda ya Kahama
Dr.Tamba akitoa elimu ya ukatili kwa
wanafunzi wa Tinde Girls High school iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya
Shinyanga.
Mwenyekiti wa SMAUJATA Manispaa ya
Shinyanga Stella Gershom akitoa elimu ya
ukatili kwa wanafunzi wa Tinde Girls High
school iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga.

Katibu wa SMAUJATA Manispaa ya Shinyanga
Hasna Maige akitoa elimu ya ukatili kwa
wanafunzi wa Tinde Girls High school iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya
Shinyanga.
Mwenyekiti wa SMAUJATA Wilaya ya
Shinyanga vijijini Bwana Emmanuel Makolo akitoa elimu ya ukatili kwa wanafunzi wa Tinde Girls High school iliyopo
Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga.
Burudani ikiendelea.
Hafla ya SMAUJATA Mkoa wa Shinyanga
kutoa elimu ya ukatili kwa wanafunzi wa Tinde Girls High school ikiendelea
katika ukumbi wa mikutano wa shule hiyo.

Wanafunzi wa Tinde Girls High school wakiwashukuru na kuwapongeza viongozi wa SMAUJATA Mkoa wa Shinyanga kwa kutoa elimu ya ukatili.
Wanafunzi wa Tinde Girls High school wakiwashukuru
na kuwapongeza viongozi wa SMAUJATA Mkoa wa Shinyanga kwa kutoa elimu ya
ukatili.

Viongozi wa SMAUJATA Mkoa na Wilaya ya
Shinyanga vijijini wakiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa Tinde Girls

Mwenyekiti wa SMAUJATA Mkoa wa Shinyanga
Bi.Nabila Kisendi akisalimiana na wanafunzi
wa Tinde Girls High school.