Na Mapuli Misalaba, Shinyanga
Kampeni ya Shujaa wa Maendeleo na Ustawi
wa jamii Tanzania SMAUJATA Mkoa wa Shinyanga leo imetoa msaada wa nafaka na
vitu mbalimbali ikiwemo Sabuni, Mchele,
Sukari pamoja na Mafuta katika kituo cha makazi ya wazee na wasiojiweza
Kolandoto.
Akizungumza Mwenyekiti wa SMAUJATA Mkoa
wa Shinyanga Madam Nabila Kisendi amesema kampeni hiyo imegusa na mahitaji ya
wazee katika kituo hicho huku akiiomba jamii kuwa na majitolewa kwa watu wenye
mahitaji.
Amesema kampeni hiyo itaendelea kuwa na
majitoleo hasa kwa watu wenye mahitaji maalum ambapo ametumia nafasi hiyo kuiomba jamii
kupaza sauti kwa kutoa taarifa za ukatili unaoendelea kufanyika kwenye familia
ili serikali iweze kuwachukua hatua za kisheria kwa watu watakaobainika kufanya
vitendo hivyo.
Viongozi wengine ni pamoja na katibu wa SMAUJATA Mkoa wa
Shinyanga Bwana Daniel Kapaya, Mwenyekiti idara ya michezo SMAUJATA Mkoa wa
Shinyanga ambaye ni polisi wa kata ya Ndala Afande Alkwin Willa pamoja na
Mwenyekiti wa idara ya maadili SMAUJATA Mkoa wa Shinyanga Bwana Solomon Najulwa
(Cheupe) wamewasihi wazee hao kuendelea kuishi maisha ya kumpendeza Mungu na
kuishi kama wanafamilia moja kwenye kituo hicho.
SMAUJATA Mkoa wa Shinyanga imetumia
nafasi hiyo kuiomba jamii hasa familia zinazoishi na wazee kuendelea kuwapenda
wazee, kuwafariji na kuhakikisha wanawapatia mahitaji yao ya msingi ikiwemo
chakula pamoja na mavazi.
Kampeni ya SMAUJATA Mkoa wa Shinyanga imetoa msaada wa
Mchele, Mafuta ya kujipaka, Dawa ya meno, Sabuni za kipande pamoja na sabuni za
unga, Sukari pamoja na Ubuyu kwa wazee katika kituo cha makazi ya wazee na
wasiojiweza Kolandoto kilichopo Manispaa ya Shinyanga.
Katika kufanikisha msaada huo SMAUJATA
Mkoa wa Shinyanga imeshirikiana na viongozi mbalimbali akiwemo Afisa maendeleo
ya jamii Mkoa wa Shinyanga Bwana Tedson Ngwale pamoja na Afisa ustawi wa jamii
Mkoa wa Shinyanga Bi. Lydia Kwesigabo.
SMAUJATA ni kampeni ya kupinga ukatili Nchini
inayotekeleza majukumu yake chini ya Wizara ya maendeleo ya jamii, jinsia,
wanawake na makundi maalum ambayo Wizara
hiyo inaongozwa na Waziri Dkt. Dorothy Gwajima.
Akizungumza kwa niaba ya Mwenyekiti wa
kituo cha makazi ya wazee na wasiojiweza Kolandoto Bwana Richard Maige pamoja
na mwenyekiti wa wazee Kija Nyimbuge wameishukuru kampeni ya SMAUJATA Mkoa wa
Shinyanga kwa kutoa msaada huo ambapo wamesema utawasaidia kupunguza changamoto
zilizopo.
Viongozi wa SMAUJATA Mkoa wa Shinyanga
na viongozi wengine wakiwasili katika kituo cha wazee na wasiojiweza Kolandoto leo
Jumapili Oktoba 15,2023 kwa lengo la kutoa elimu ya ukatili pamoja na kukabidhi
msaada wa nafaka na vitu mbalimbali kwenye kituo hicho.

Mwenyekiti wa SMAUJATA Mkoa wa Shinyanga
Madam Nabila Kisendi akitoa elimu ya ukatili katika kituo cha makazi ya wazee
na wasiojiweza Kolandoto leo Jumapili Oktoba 15,2023.
Katibu wa SMAUJATA Mkoa wa Shinyanga Bwana Daniel
Kapaya akitoa elimu ya ukatili katika kituo cha makazi ya wazee na wasiojiweza
Kolandoto leo Jumapili Oktoba 15,2023.
Mwenyekiti wa idara ya maadili SMAUJATA
Mkoa wa Shinyanga Bwana Solomon Najulwa (Cheupe) akitoa elimu ya ukatili katika
kituo cha makazi ya wazee na wasiojiweza Kolandoto leo Jumapili Oktoba 15,2023.
Shinyanga ambaye ni polisi wa kata ya Ndala Afande Alkwin Willa akitoa elimu ya
ukatili katika kituo cha makazi ya wazee na wasiojiweza Kolandoto leo Jumapili
Oktoba 15,2023.
Akizungumza kwa niaba ya Mwenyekiti wa
kituo cha makazi ya wazee na wasiojiweza Kolandoto Bwana Richard Maige amewashukuru
SMAUJATA Mkoa wa Shinyanga kwa kutoa msaada huo.

Mwenyekiti wa kijiji cha Kolandoto Makoye
Lugwisha akiipongeza kampeni ya SMAUJATA Mkoa wa Shinyanga kwa kutoa msaada huo
katika kituo cha makazi ya wazee na wasiojiweza Kolandoto.
Mwenyekiti wa wazee upande wa kulia Kija
Nyimbuge akiishukuru kampeni ya SMAUJATA Mkoa wa Shinyanga kwa kutoa msaada
huo.

Baadhi ya wazee katika kituo hicho
wakiishukuru kempeni ya SMAUJATA Mkoa wa Shinyanga kwa kutoa msaada huo.

Afisa maendeleo ya jamii Mkoa wa
Shinyanga Bwana Tedson Ngwale pamoja na viongozi wa SMAUJATA Mkoa wa Shinyanga
wakiwa katika zoezi la kukabidhi msaada wa nafaka na vitu mbalimbali katika kituo
cha makazi ya wazee na wasiojiweza Kolandoto kilichopo Manispaa ya Shinyanga
leo Jumapili Oktoba 15,2023.

wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wazee wanaoishi katika kituo cha makazi ya wazee na
wasiojiweza Kolandoto kilichopo Manispaa ya Shinyanga leo Jumapili Oktoba
15,2023.

wakiwa katika picha ya pamoja na Afisa maendeleo ya jamii Mkoa wa Shinyanga
Bwana Tedson Ngwale baada ya kukabidhi msaada wa vitu mbalimbali katika kituo