Na
Mapuli Misalaba, Shinyanga
Kamishna
wa jeshi la Polisi Kamisheni ya Polisi Jamii CP Faustine Shilogile amewakumbusha
Polisi jamii katika Mkoa wa Shinyanga kuendelea kushirikiana na viongozi
mbalimbali wa serikali, chama, Dini, viongozi wa kimila, wadau pamoja na
wananchi katika kuimarisha usalama wa raia na mali zao.
Ameyasema
hayo kwenye kikao cha Polisi jamii kutoka kwenye kata mbalimbali Mkoani Shinyanga
kilichohudhuriwa na viongozi wa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga, viongozi
wa CCM, viongozi wa Dini, viongozi wa kimila pamoja na viongozi wa kampeni ya
SMAUJATA Mkoa wa Shinyanga.
Kikao
hicho ambacho kililenga kuwajengea uwezo wa pamoja katika jukumu la ulinzi na
usalama CP Shilogile pamoja na mambo mengine amewakumbusha kuwa na ushirikiano
wa pamoja ili kuzuia na kutokomeza uhalifu Mkoani Shinyanga.
CP
Shilogile ametumia nafasi hiyo kumpongeza kamanda wa jeshi la Polisi Mkoa wa
Shinyanga ACP Janeth Magomi kwa kuendelea kushirikiana na viongozi hao hali
iliyochangia kupungua kwa matukio ya kihalifu Mkoani humo.
Amesisitiza
kuongeza kasi katika kuzuia na kupunguza au kumaliza kabisa uhalifu ikiwemo
kupinga vitendo vya ukatili wa kijinsia pamoja na Rushwa zinazosababisha migogoro
mbalimbali yenye uvunjifu wa amani.
Kamishna
Shilogile ameambatana na mratibu wa dawati la jinsia na watoto ACP- Faidha
Suleiman ambaye amewaomba viongozi hao kukemea mmomonyoko wa maadili ikiwemo
kupinga vitendo vya ukatili vinavyoendelea kufanyika katika jamii.
Naye
Kamishna mstaafu WA Jeshi la Polisi Rt Sacp Englibert Kiondo pamoja na mambo
mengine amewataka Askari wa kila kata kufuata mila na desturi za jamii husika ikiwa
ni pamoja na kuhudhuria kwenye nyumba za ibada.
Baadhi
ya viongozi wamelipongeza jeshi la Polisi kwa ushirikiano uliopo huku wakiahidi
kuendelea kutoa ushirikiano katika hatua mbalimbali za kupambana na uhalifu
Mkoani Shinyanga.
Aidha
Polisi wa kata mbalimbali Mkoani Shinyanga wamekiri kupokea maelekezo na
ushauri ambao umetolewa huku wakiwaomba
viongozi wa kimila kuendelea kushirikiana katika kutokomeza mila na desturi
kandamizi zilizopo kwenye jamii.
Kamishana
wa Kamisheni ya Ushirikishwaji Jamii CP Faustine Shilogile amefanya ziara
Mkoani Shinyanga akiwa ameambatana na viongozi wengine kukagua miradi ya Polisi
jamii ikiwa ni pamoja na kuwajengea uwezo katika jukumu la ulinzi na usalama.
Kamishna
wa jeshi la Polisi Kamisheni ya Polisi Jamii CP Faustine Shilogile akizungumza
kwenye kikao hicho ambacho kimefanyika katika ukumbi wa Polisi jamii fitness
center mjini Shinyanga.

mstaafu WA Jeshi la Polisi Rt Sacp Englibert Kiondo akizungumza kwenye kikao
hicho ambacho kimefanyika katika ukumbi wa Polisi jamii fitness center mjini
Shinyanga.
Mratibu
wa dawati la jinsia na watoto ACP- Faidha Suleiman akizungumza kwenye kikao
hicho ambacho kimefanyika katika ukumbi wa Polisi jamii fitness center mjini
Shinyanga.
Kamanda
wa jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga ACP Janeth Magomi akizungumza kwenye kikao

wa Dawati la Jinsia na Watoto Mkoa wa Shinyanga, Mrakibu Mwandamizi wa Jeshi la
Polisi, Monica Venance Sehere awali akizungumza kwenye kikao hicho ambacho
kimefanyika katika ukumbi wa Polisi jamii fitness center mjini Shinyanga.
Kikao
cha kuwajengea uwezo wa pamoja katika jukumu la ulinzi na usalama viongozi na
polisi jamii kikiendelea
katika ukumbi wa Polisi jamii fitness center mjini Shinyanga.
Mwenyekiti
wa kamati ya maadili SMAUJATA Mkoa wa Shinyanga Bwana Solomon Nalinga Najulwa
(Cheupe) akizungumza kwa niaba ya Mwenyekiti wa SMAUJATA Mkoa wa Shinyanga.

Mwenyekiti idara ya wanawake SMAUJATA Mkoa wa Shinyanga
Mwinjilisti Esther Emmanuel akizungumza kwenye kikao
hicho ambacho kimefanyika katika ukumbi wa Polisi jamii fitness center mjini
Shinyanga.
Diwani
wa kata ya Ngokolo Mhe.Victor Mkwizu akizungumza kwenye kikao hicho ambacho
kimefanyika katika ukumbi wa Polisi jamii fitness center mjini Shinyanga.
Mwenyekiti wa kamati ya maadili SMAUJATA Mkoa wa Shinyanga Bwana Solomon Nalinga Najulwa (Cheupe) akizungumza kwa niaba ya Mwenyekiti wa SMAUJATA Mkoa wa Shinyanga.
Mwenyekiti
wa Watemi Mkoa wa Shinyanga Chief Kidola Njange akizungumza kwenye kikao hicho
ambacho kimefanyika katika ukumbi wa Polisi jamii fitness center mjini
Shinyanga.
Mstahiki
meya wa Manispaa ya Shinyanga Mhe. Elias Ramadhan Masumbuko akizungumza kwenye kikao hicho ambacho
kimefanyika katika ukumbi wa Polisi jamii fitness center mjini Shinyanga.
Kamishna
wa jeshi la Polisi Kamisheni ya Polisi Jamii CP Faustine Shilogile akiwa kwenye
picha ya pamoja na viongozi mbalimbali katika ukumbi wa Polisi jamii fitness