Na Mapuli Misalaba, Shinyanga
Kampeni ya Shujaa wa Maendeleo na Ustawi wa Jamii
Tanzania SMAUJATA Mkoa wa Shinyanga leo imezindua bonanza la kupinga ukatili
linalokwenda sanjari na michezo mbalimbali katika Mtaa wa Dome kata ya Ndembezi
Manispaa ya Shinyanga.
Bonanza hilo linalokwenda kwa jina la Cheupe Cup limezinduliwa
leo Jumanne Juni 27,2023 kwa kushirikiana na Mwenyekiti wa mtaa wa Dome Bwana
Solomon Najulwa jina maarufu Cheupe ambalo litafanyika kwa siku sita (6).
Akizindua Bonanza hilo makamu Mwenyekiti wa SMAUJATA Mkoa
wa Shinyanga Mwalimu Vicent Kanyogota amekemea ukatili unaofanyika mitaani huku
akiwaomba wananchi kutoa taarifa za ukatili kwa kupiga 116 au kufikisha kwa viongozi
wa SMAUJATA Mkoa huo.
Mwalimu Kanyogota amesema Kampeni ya SMAUJATA imelenga
kutetea haki za kila mtu kwa kuzuia vitendo vya uhalifu ikiwemo vitendo vya
ukatili vinavyochangia ukosefu wa amani kwenye familia, jamii na Taifa kwa
ujumla.
Amesema SMAUJATA Mkoa wa Shinyanga itaendelea kutetea
haki na kuibua vitendo vya ukatili kwa lengo la kujenga jamii yenye mazingira
salama katika maisha ya kila siku.
Katibu wa SMAUJATA Mkoa wa Shinyanga Bwana Daniel
Kapaya amewasisitiza wazazi na walezi kuimarisha ulinzi wa watoto wao ili
kuwaepusha na vitendo vya ukatili.
Baadhi ya wakazi wa mtaa wa Dome waliohudhuria bonanza
hilo la Cheupe Cup wameipongeza SMAUJATA Mkoa wa Shinyanga kwa kushirikiana na
Mwenyekiti wa mtaa huo ambapo wamesema watahakikisha taarifa zote za ukatili
wanazifikisha sehemu sahihi kwa wakati.
Wananchi hao wameiomba SMAUJATA Mkoa wa Shinyanga
kuendelea kutoa elimu ya ukatili pamoja na ubunifu huo wa michezo mbalimbali
ambapo wamesema kwa kufanya hivyo itasaidia jamii ya Mkoa wa Shinyanga kupaza
sauti juu ya ukatili unaoendelea kufanyika.
Kwa upande wake Mwenyekiti wa mtaa wa Dome Bwana
Solomon Nalinga Najuwa jina maarufu Cheupe ambaye pia ni Mwenyekiti kamati ya
maadili SMAUJATA Mkoa wa Shinyanga amesema michezo mbalimbali itaendelea
kufanyika katika uwanja wa Balina English na kwamba amewakaribisha wakazi wa
Mkoa wa Shinyanga kujitokeza kwa wingi kwenye bonanza hilo.
Michezo mbalimbali imefanyika ikiwemo mchezo wa mpira
wa miguu pamoja na mchezo wa kuvuta Kamba kwa wanawake ambapo washidi mbalimbali
wamepokea zawadi.
Makamu Mwenyekiti wa SMAUJATA Mkoa wa Shinyanga
Mwalimu Vicent Kanyogota akizindua bonanza la kata ukatili Cheupe Cup
litakalofanyika kwa siku sita kuanzia Juni 27,2023.

Mwenyekiti wa mtaa wa Dome Bwana Solomon Nalinga
Najuwa jina maarufu Cheupe ambaye pia ni Mwenyekiti kamati ya maadili SMAUJATA
Mkoa wa Shinyanga akizungumza kwenye bonanza hilo la kata ukatili Cheupe Cup.

Kapaya akizungumza kwenye bonanza la kata ukatili Cheupe Cup mtaa wa Dome leo
Jumanne Juni 27,2023.

Mwalimu Vicent Kanyogota akiwa kwenye picha ya pamoja baada ya kuzindua bonanza
la kata ukatili Cheupe Cup mtaa wa Dome Manispaa ya Shinyanga.

Michezo mbalimbali ikiendelea kwenye bonanza la kata ukatili Cheupe Cup mtaa wa
Dome Manispaa ya Shinyanga leo Jumanne Juni 27,2023.

Washindi katika Michezo mbalimbali wakikabidhiwa
zawadi zao leo kwenye bonanza la kataa ukatili
Cheupe Cup mtaa wa Dome Manispaa ya Shinyanga Juni 27,2023.

Michezo mbalimbali ikiendelea kwenye bonanza la kataa ukatili Cheupe Cup mtaa wa