Mtu
mmoja anayedhaniwa kuwa jambazi ameuawa kwa kupigwa risasi baada ya
kufanya jaribio la kumpora Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Theresa
iliyopo Mbezi jijini Dar es Salaam nchini Tanzania.

Akizungumzia tukio hilo, Mkurugenzi kampuni ya ulinzi ya Jatu, Jacob
Mgwabati amesema tukio hilo limetokea leo Ijumaa Septemba 6, 2019 saa 6
mchana wakati Padri huyo alipofika kanisani akitokea benki.

“Walipofika hapo wakambana paroko, alikuwa ametokea benki kulipa
wafanyakazi, lakini hakuwa na hela. Wakamwambia tupe begi, wakati bado
wanashangaa, wakatoa bastola mbili kila mmoja na bastola yake,” amesema
Mgwabati.

“Paroko akaamua kuwapa begi, askari wetu akatumia busara, akaacha kwanza
paroko asogee, walipoondoka akawatandika risasi, mmoja ikampata kwenye
kiuno akaanguka, hakukaa sana akafa. Huyo mwingine alikimbia kwa miguu.”

Amesema baada ya tukio hilo polisi walioko karibu na kanisa hilo
walifika na kumkagua mtu huyo na kumkuta na vitambulisho mbalimbali na
leseni ya udereva na hirizi.

Via Mwananchi