Blog Dkt philip mpango apendekezwa makamu wa rais Mwandishi Wetu30 March 2021 DKT. PHILIP ISDOR MPANGO Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amempendekeza Dkt Philip Mpango kuwa Makamu wa Rais wa #Tanzania na jina lake limepelekwa bungeni kwa ajili ya kuthibitishwa na wabunge. Barua pepe Nimeafiki sera ya faragha
Naibu waziri mavunde awaonya waajiri wasiotekeleza mpango wa urithishaji wa ujuzi kwa wafanyakazi wazawa Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Mh Anthony Mavunde amewataka waajiri wote wanaoleta wafanyakazi wa Kigeni kuhakikisha wanasimamia…
Magazeti ya leo jumamosi februari 12, 2022…mabilioni yaibwa, serikali yaingilia kati afya ya prf j, lusinde acharuka hali ya hewa sakata la wafugaji kuhama ngorongoro Barua pepe Nimeafiki sera ya faragha