Katibu wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Sheria Ndogo Bw.Mkuta Masoli akifafanua jambo wakati wa kikao cha kamati hiyo kilichofanyika katika UKumbi wa Bunge Machi 18, 2022 Jijini Dodoma. |
Baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Sheria Ndogo wakifuatilia kikao hicho kilichofanyika katika UKumbi wa Bunge Machi 18, 2022 Jijini Dodoma. |
Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Bunge na Siasa Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Bw. Ally Mfikirwa akieleza jambo katika kilichofanyika katika Ukumbi wa Bunge Machi 18, Jijini Dodoma |