Itakumbukwa milele: tamasha la tigo nyumbani festival laacha historia arusha

  Na Mwandishi Wetu

Mtandao namba moja wa huduma za Kidigitali hapa nchini Tanzania TIGO umeacha historia katika Jiji la Arusha kwa kuendesha na kuratibu Tamasha la TIGO NYUMBANI FESTIVAL lililofanyika Jana  Jumamosi ya Tarehe 29, Mei 2021 katika viwanja vya Sheikh Amri Abeid Arusha. “ARUSHA NDO NYUMBANI” ikiwa na maana kuwa vipaji lukuki na bora ndio alama kuu ya Jiji hili kama ambavyo huduma na bidhaa kutoka TIGO zilivyo bora na Stahiki kulingana na mahitaji ya Mteja. Zifuatazo ni picha za matukio mbalimbali yaliyofanyika katika jukwaa la TIGO NYUMBANI FESTIVAL ARUSHA, Matukio ambayo kwa hakika yameacha historia ndani ya Jiji la Arusha.