*Kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mhe. Naghenjwa Kaboyoka imetembelea na kukagua utekelezaji wa mradi wa kuboresha huduma ya Majisafi na Usafi wa Mazingira katika Jiji la Arusha na baadhi ya maeneo katika wilaya ya Arumeru. Mradi huo unatekelezwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Jiji la Arusha (AUWSA)*
Related Posts
Kampuni mpya ya bima yaingia nchini, yajivunia historia nzuri ya utendaji
Mwenyekiti wa kampuni ya bima ya Grand Re Tanzania,Shinganyi Mutasa (kushoto) akimkabidhi zawadi ya kumbukumbu Kamishna wa Bima nchini…
Magazeti jumatano ya machi 11/2020:vigogo 8 chadema kulipa milioni 350
Barua pepe Nimeafiki sera ya faragha
Rais samia apongezwa
Na David John MKURUGENZI mtendaji wa Kampuni ya Alpha Tanganyika Flavour limited kutoka mkoani Kigoma, Alpha Nondo amemmwagia pongezi Rais…