Blog Mahakama kuu yaridhia kuapishwa kwa mrithi wa tundu lissu jimbo la singida mashariki Mwandishi Wetu3 September 2019 Mahakama Kuu ya Tanzania imeridhia Mbunge mteule wa Singida Mashariki kwa tiketi ya CCM, Mhe. Miraji Mtaturu kuapishwa bungeni leo Septemba 3, 2019 na imedai kuwa maombi rasmi ya Mhe. Tundu Lissu kupinga baadhi ya mambo yatatolewa Septemba 9, 2019. Barua pepe Nimeafiki sera ya faragha
Wakazi wa kata ya maruvango waazimia kumaliza tatizo la ukatili wa kingono. Washiriki katika mdahalo kuhusu msaada wa kisheria kwa wahanga wa ukatili wa kingono Kata ya Maruvango. Mwezeshaji katika mdahalo kuhusu…
Ajali ya basi la kidiaone : polisi arusha wanena mazito, dereva alimvua asakwa Na Seif Mangwangi,Arusha Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha kimethibitisha kutokea kwa ajali ya gari la kidia one namba T355DTC …