Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wajumbe wa Kamati ya Kitaifa ya Maandalizi ya Mazishi ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu , Benjamin William Mkapa wakati alipokagua maandalizi ya Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam Julai 25, 2020 ambapo kutafanyika Ibada ya kumwombea marehemu na kuaga mwili kitaifa kuanzia kesho. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi ( wa pili kushoto) wakipata maelezo kutoka kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi,Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama (kushoto) wakati walipokagua Maandalizi ya Mazishi ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin William Mkapa kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam Julai 25, 2020 ambapo kutafanyika Ibada ya kumwombea marehemu na kuaga mwili kitaifa kuanzia kesho. Wa nne kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mohammed Abood na kulia ni Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Related Posts
Afariki kwa moto akiwa ndani
Na Mapuli Misalaba, Shinyanga Mwanaume mmoja mkazi wa mtaa wa Luhende kata ya Masekelo Manispaa ya Shinyanga, Bwana Ngelela…
Dhana ya afya moja yaanza kutekelezwa kwa vitendo mpakani namanga
hare on Facebook Tweet on Twitter Na. Mwandishi Wetu, APC BLOG Namanga Tanzania kwa kushirikiana na Kenya jana tarehe 11…
Mahakama yamtia hatiani mchungaji mwenye wake watatu
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam imemuhukumu Mchungaji wa Kanisa la The Early Church of Lord Yeshwah, David…