Mbivu, mbichi kujulikana leo barani ulaya wakati dirisha la usajili litakapofungwa saa6 usiku

Leo ndio mwisho wa fitina zote za tetesi za usajili unazozisikia mitandaoni na kwingineko. Dirisha la uhamisho la usajili barani Ulaya linatazamiwa kufungwa saa sita za usiku za Uingereza na kuhitimisha uvumi mwingi uliotanda kuhusu mastaa mbalimbali.
 mchezaji mwenzake wa kimataifa wa Brazil. (Goal)