Picha mbalimbali ufunguzi media day 2022

Waandishi wa Habari waanza Mkutano wao Arusha, kuelekea Maadhimisho ya Uhuru wa Vyombo vya habari Duniani, Me3, 2022 ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi.