Picha: mgonjwa akiwahishwa hospitali baada ya usafiri wa umma kupigwa marufuku kwa hofu ya corona uganda

Mwanaume mmoja akiwa anasukuma usafiri wa asili ili kumuwaisha Hospitali mgonjwa katika Manispaa ya Arua, Uganda.


 Mwanamke 
huyo mgonjwa hakuweza kupata Bodaboda au usafiri mwingine  kufuatia
usafiri wa umma kupigwa marufuku na Rais Museveni ili kuzuia corona
kusambaa.

Credit/ Picha: Daily Monitor 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *