Tmda yakutanisha wahariri vyombo vya habari arusha

Picha mbalimbali wakati wa ufunguzi wa warsha ya siku moja ya wahariri wa Vyombo vya habari inayofanyika katika jengo la Ngorongoro Arusha
Mwanasheria wa TMDA Martha Malle akiwasilisha mada
Yonah Hebron Mwalwisi Kaimu Mkurugenzi Udhibiti wa Dawa na Vifaa Tiba (TMAD) akifafanua jambo wakati akiwasilisha mada kuhusu madhara ya utumiaji wa Tumbaku katika kikao kazi cga wahariri wa vyombo vya habari na Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) jijiniArusha leo.
Mkurugenzi wa TMDA Adam Fimbo akinyoosha mkono kuomba kutoa ufafanuzi wa moja ya maswali yaliyoulizwa katika mkutano huo
Mkurugenzi wa TMDA akitoa salamu za ukaribisho
Baadhi ya wahariri wakifuatilia kwa makini mada zinazotolewa
Kaimu Mganga Mkuu wa Mkoa wa Arusha Vonese Oisso akitoa hotuba yake ya ufunguzi wa warsha hiyo.
Yonah Hebron Mwalwisi Kaimu Mkurugenzi Udhibiti wa Dawa na Vifaa Tiba (TMAD) akifatilia kwa makini warsha kwa wahariri iliyokuwa ikiendelea katika jengo la Ngorongoro
Mgeni rasmi akiwa katika picha ya pamoja na watendaji wa TMDA
Meneja mawasiliano wa mamlaka ya TMDA Gaudensia Simwanza akieleza mada zitakazojadiliwa katika kikao hicho