Wachezaji wa Uholanzi wakipongezan baada ya ushindi mzuri wa ugenini wa 4-2 dhidi ya wenyeji, Ujerumani usiku wa jana Uwanja wa Volkspark mjini Hamburg katika mchezo wa Kundi C kufuzu Euro ya mwakani. Mabao ya Uholanzi yalifungwa na Frenkie de Jong dakika ya 59, Jonathan Tah aliyejifunga dakika ya 66, Donyell Malen dakika ya 79 na Georginio Wijnaldum dakika ya 90 na ushei, wakati ya Ujerumani yalifungwa na Serge Gnabry dakika ya tisa na Toni Kroos
Related Posts
Dc asia aruhusu wananchi kuandamana kwenda shamba kulima
MKUU wa wilaya ya Kilolo Asia Abdallah amewataa wananchi wa wilaya hiyo kujikita zaidi katika maandamano ya shambani na katika…
Magazeti ya leo jumamosi 28 mei 2022, baada ya mshahara kicheko kingine kwa wafanyakazi wa umma…
Barua pepe Nimeafiki sera ya faragha
Wajasiriamali washauriwa kuzalisha bidhaa bora
Na Magesa Magesa,Arusha WAJASIRIAMALI hapa nchini wameshauriwa kuhakikisha kuwa wanazalishabidhaa bora zenye tija na viwango hali ambayo itawasaidia kupatamasoko ya…