Waandishi zanzibar wahudhuria mkutano wenye lengo la kutoa taarifa ya kuondoa adhabu,riba na faini kwa walipa kodi mwaka 2019

Baadhi
ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika Mkutano kuhusiana na
Taarifa ya kuondoa Adhabu,Riba na Faini mwaka 2019 kwa malengo ya kutoa
Fursa kwa walipa kodi kusawazisha madeni yao hafla iliofanyika ukumbi wa
ZRB Mazizini Zanzibar.
Meneja
Uhusiano na Huduma kwa walipa kodi Bodi ya Mapato Zanzibar ZRB Shaaban
Yahya Ramadhan akitoa ufafanuzi kuhusiana naTaarifa ya kuondoa
Adhabu,Riba na Faini mwaka 2019 kwa malengo ya kutoa Fursa kwa walipa
kodi kusawazisha madeni yao hafla iliofanyika ukumbi wa ZRB Mazizini
Zanzibar.
Mwandishi
wa Habari wa Hits Fm Rehema Juma Mema akiuliza maswali katika Mkutano
kuhusiana na Taarifa ya kuondoa Adhabu,Riba na Faini mwaka 2019 kwa
malengo ya kutoa Fursa kwa walipa kodi kusawazisha madeni yao hafla
iliofanyika ukumbi wa ZRB Mazizini Zanzibar.

PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.