Jeshi
la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia ABRAHAM OBEDI [55] wakala wa
bima ya GTM na Mkazi wa Isanga Jijini Mbeya akiwa na mihuri hamsini na
sita [56] ya idara mbalimbali za serikali na ofisi binafsi ambayo
imeghushiwa na kuhifadhiwa katika ofisi yake ya Stationaries.

Mtuhumiwa
alikamatwa Disemba 31, 2019 majira ya saa 17:00 jioni huko maeneo ya
Mtaa wa Sokoine uliopo Kata na Tarafa ya Sisimba Jijini Mbeya baada ya
Jeshi la Polisi Mkoani hapa kupata taarifa na kisha kufanya msako mkali
na kufanikiwa kumtia nguvuni mtuhumiwa pamoja na vielelezo.

Baadhi ya mihuri na nyaraka alizokutwa nazo mtuhumiwa ni kama ifuatavyo:-
1.Mhuri wa Mwenyekiti wa Mtaa wa Soko Kata ya Ruanda,
2.Mhuri wa Afisa biashara wa Halmashauri ya Mbeya,
3. Access Bank Tawi la Mbeya,
4.Mamlaka ya Mapato Mbeya [TRA]
5. Hakimu Mkazi Mahakama ya Mwanzo Mbeya Mjini,
Aidha
mtuhumiwa alikutwa pia na Kompyuta moja aina ya Accer, Stika za bima,
Poss Machine na nyaraka mbalimbali vikiwemo vyeti vya wanafunzi ambao
vimeghushiwa. Upelelezi wa shauri hili unaendelea na mara baada ya
kukamilika mtuhumiwa atafikishwa mahakamani kwa hatua zaidi za kisheria.

KUPATIKANA NA BHANGI.
Jeshi
la Polisi Mkoani hapa linamshikilia AGREY MASHAKA @ MBOTO [25] Mkazi wa
Kilambo Wilayani Kyela akiwa na dawa za kulevya aina ya bhangi kavu
kilogramu thelathini [30].

alikamatwa Disemba 31, 2019 majira ya saa 14:45 mchana baada ya Jeshi
la Polisi Mkoani hapa kufanya msako mkali huko Kitongoji cha Kilambo,
Kata ya Njisi, Tarafa ya Unyakyusa, Wilaya ya Kyela na Mkoa wa Mbeya.
Mtuhumiwa ni muuzaji na mtumiaji wa bangi hiyo.

Imetolewa na:
[ULRICH O. MATEI – SACP]
KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA.