Na Mapuli Kitina Misalaba
Naibu waziri ofisi ya waziri mkuu kazi, vijana na
ajira Mhe. Paschal Patrobas Katambi
amewakumbusha wanawake wote hapa Nchini kuwajibikia jukumu la malezi bora na
makuzi ya watoto kama hatua ya kulinda maadili.
Katambi ambaye pia ni mbunge wa Jimbo la Shinyanga mjini
ametoa kauli hiyo leo wakati akizungumza kwenye kongamano la wanawake kuelekea kilele
cha siku ya wanawake Duniani.
Amesema ili kukabiliana na tishio la mmomonyoko wa
maadili ni wajibu wa kila mwanamke na jamii kwa ujumla kusimamia malezi na
makuzi ya watoto kwa kuzingatia maadili mema.
Katibu wa jukwaa la
uwezeshaji wanawake kiuchumi Taifa Dkt. Regina Malima amewataka wanawake
kuchukua hatua haraka katika kujikwamua kiuchumi huku akiwaomba kuendelea
kuunga mkono juhudi za serikali katika shughuli za maendeleo.
Mwenyekiti wa jukwaa la
uwezeshaji wanawake kiuchumi Manispaa ya Shinyanga Mwalimu Zezema Shilungushela
amesema jukwaa hilo limelenga kuwapataia elimu na fursa mbalimbali wanawake.
Jukwaa la wanawake Manispaa ya Shinyanga leo
limefanya kongamano kuelekea siku ya wanawake Duniani Machi 8 na kwamba kauli
mbiu ya mwaka huu inasema “Wekeza kwa wanawake kuharakisha maendeleo ya Taifa
na ustawi wa jamii”.
Katika kongamano hilo mada mbalimbali zimetolewa na
wawezeshaji ikiwemo mada ya Afya ya akili, malezi ya watoto, wanawake na
uongozi pamoja na ukatili wa kijinsia.Awali baadhi ya viongozi wakisalimiana kabla ya kuingia ukumbini.
Buruduni ikiendelea katika kongamano la wanawake wa
jukwaa la uwezeshaji kiuchumi Manispaa ya Shinyanga, kuelekea kilele cha siku
ya wanawake Duniani.

Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake Laki Moja Mkoani Shinyanga Anaskolastika Ndagiwe (MC Mama Sabuni) akizungumza kwenye kongamano hilo.
Mwenyekiti wa
Taasisi ya Wanawake Laki Moja Mkoani Shinyanga Anaskolastika Ndagiwe (MC Mama Sabuni) akizungumza kwenye kongamano hilo.
Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake Laki Moja Mkoani Shinyanga Anaskolastika Ndagiwe (MC Mama Sabuni) akizungumza kwenye kongamano hilo.
Mwenyekiti wa jukwaa la
uwezeshaji wanawake kiuchumi Manispaa ya Shinyanga Mwalimu Zezema Shilungushela
akisoma taarifa fupi ya jukwaa hilo.
Mwenyekiti wa jukwaa la
uwezeshaji wanawake kiuchumi Manispaa ya Shinyanga Mwalimu Zezema Shilungushela
akizungumza kwenye kongamano hilo.

Kongamano la jukwaa la
uwezeshaji wanawake kiuchumi Manispaa ya Shinyanga likiendelea katika ukumbi wa
mikutano Green View mjini Shinyanga.

Mwezeshaji wa mada ya
Afya ya Akili Bi. Sabrina Majikata akizungumza kwenye kongamano la wanawake wa
jukwaa la uwezeshaji kiuchumi Manispaa ya Shinyanga.

Mwezeshaji wa mada ya malezi ya watoto kutoka dawati
la jinsia na watoto Jene Mwasembe akizungumza kwenye kongamano hilo.

Mwezeshaji wa mada ya ukatili wa kijinsia kutoka
SMAUJATA Manispaa ya Shinyanga Bi. Husna Maige akizungumza kwenye kongamano
hilo.
Mwezeshaji wa mada ya ukatili wa kijinsia kutoka
SMAUJATA Manispaa ya Shinyanga Bi. Husna Maige akizungumza kwenye kongamano
hilo.
Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake Laki Moja Mkoani Shinyanga Anaskolastika Ndagiwe (MC Mama Sabuni) akizungumza kwenye kongamano hilo.
Viongozi mbalimbali wa jukwaa la uwezeshaji wanawake
kiuchumi wakimpokea naibu waziri ofisi ya waziri mkuu kazi, vijana na
ajira Paschal Patrobas Katambi ambaye
pia ni mbunge wa Jimbo la Shinyanga mjini.
Naibu waziri ofisi ya waziri mkuu kazi, vijana na
ajira Paschal Patrobas Katambi ambaye
pia ni mbunge wa Jimbo la Shinyanga mjini akiwasili ukumbini.
Kongamano la jukwaa la
uwezeshaji wanawake kiuchumi Manispaa ya Shinyanga likiendelea katika ukumbi wa
mikutano Green View mjini Shinyanga.
Kongamano la jukwaa la
uwezeshaji wanawake kiuchumi Manispaa ya Shinyanga likiendelea katika ukumbi wa
mikutano Green View mjini Shinyanga.
Afisa ustawi wa jamii Manispaa ya Shinyanga Bi.
Lemiflora Nyalanja akizungumza kwenye kongamano hilo la jukwaa la uwezeshaji
wanawake kiuchumi.
Afisa ustawi wa jamii Manispaa ya Shinyanga Bi.
Lemiflora Nyalanja akizungumza kwenye kongamano hilo la jukwaa la uwezeshaji
wanawake kiuchumi.
Naibu waziri ofisi ya waziri mkuu kazi, vijana na
ajira ambaye pia ni mbunge wa Jimbo la
Shinyanga mjini Mhe. Paschal Patrobas Katambi akizungumza kwenye kongamano la
jukwaa la uwezeshaji wanawake kiuchumi.

Mgeni rasmi, Katibu wa
jukwaa la uwezeshaji wanawake kiuchumi Taifa Dkt. Regina Malima akizungumza
kwenye kongamano hilo.