Baada ya kamisaa wa sensa mhe. anna makinda kufanya ziara shinyanga, ofisi ya takwimu taifa yabainisha mambo muhimu yanayoendelea

 Meneja takwimu ofisi ya
Taifa ta takwimu Mkoa wa Shinyanga Bwana Eliud Kamendu akizungumzia ujio wa kamisaa wa Sensa Mhe.
Anna Makinda.

Kamisaa wa Sensa ya
Watu na Makazi Taifa Mhe. Anna Makinda 
akizungumza na mkuu wa Mkoa
wa Shinyanga Bi. Christina Mndeme ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya siku moja
katika Mkoa wa Shinyanga
.