Basi la kampuni ya Majinjah ambalo lilikuwa safarini kutoka Kyela kuelekea Dar, limepata ajali maeneo ya Kitonga leo.
Mashuhuda wanadai chanzo cha ajali ni kufeli kwa breki za basi hilo.
RPC Iringa amesema tayari RTO ameelekea eneo la tukio na baadae watatoa taarifa kwa undani.
Related Posts
Ubora wa viwanda vya nyama nchini wachochea kasi ya usafirishaji wa nyama nje ya nchi
Kasi ya kusafirisha nyama kwenda nje ya nchi imeongezeka kutokana na kuwepo kwa ubora wa Viwanda vya…
Waziri jafo awataka wakuu wa shule kutojihusisha na udanganyifu wa mitihani.
Na Faustine Gimu WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(Tamisemi) SELEMANI JAFO amewataka wakuu…
Itigi kukusanya sh bilioni 20 mwaka wa fedha 2020/21
Na Abby Nkungu, Itigi HALMASHAURI ya Itigi katika wilaya ya Manyoni mkoani Singida inakusudia kukusanya na kupokea zaidi ya Sh…