Serikali
ya Tanzania inatekeleza Mradi wa unaolenga kuleta mapinduzi katika
Elimu ya Ufundi Afrika Mashariki (EASTRIP) unaofadhiliwa na Benki ya
Dunia.

Akizungumzia
mradi huo wakati wa akifungua mkutano wa pili wa Mwaka wa wadau wa
Mradi huo kwa niaba ya Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Katibu
Mkuu wa wizara hiyo Dk.Leornad Akwilapo amesema benki ya Dunia imetoa
Kiasi Dola za kimarekani Milioni 75 kwa ajili ya kutekeleza mradi huo
katika vyuo vinne nchini ambavyo ni Chuo cha Usafirishaji Dar es Salaam
(NIT), Taasisi ya Teknolojia ya Dar Es salaam (DIT) kampasi ya Dar es
Salaam na Mwanza na Chuo cha Ufundi Arusha (ATC).

“Fedha
hizi zinatolewa na Benki ya Dunia ni kwa ajili ya kuvijengea vyuo vya
hivyo uwezo ili viweze kutoa wanafunzi wenye ujuzi stahiki wa
kuwawezesha kujiajiri ama kuajiriwa na pamoja na kuvijengea vitu vya
umahiri” amesema Dkt. Akwilapo.

Katibu
Mkuu huyo ameongeza kuwa mradi huo utawezesha kujenga miundombinu bora
na kuweka vifaa Pamoja na kuwajengea uwezo wakufunzi.

Aidha,
Dkt. Akwilapo amewataka watanzania kufahamu kuwa elimu ya ufundi ni
muhimu kwa maendeleo ya nchi hasa katika uchumi wa viwanda na kwamba
vyuo vya ufundi visiwe chaguo la mwisho kwa mtu anayefeli.

“Tunawashukuru
Benki ya Dunia kwa maana fedha hizo zitatumika katika kuhakikisha
wanawajengea uwezo wanafunzi na pindi wanapohitimu inakua rahisi
kuajiriwa viwandani na hasa ikizingatiwa Tanzania inaelekea katika
uchumi wa viwanda kwa sasa,”

Naye
Mratibu wa Mradi huo kutoka Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia
Dk.Noel Mbonde amesema vyuo hivyo vinne vimejikita katika masuala ya
Teknolojia ya Habari(Tehama),Gesi asilia, Ngozi na masuala ya anga na
mradi huo unakwenda kuongeza udahili wa wanafunzi katika fani hizo
katika chuo cha NIT pamoja na ununuzi wa Ndege ya mafunzo.

Mhadhiri wa Chuo cha DIT kampasi ya .Dar es salaam DK.Joseph Matiko
amesema fedha hizo walizokabidhiwa ni kwa ajili ya kujenga miundombinu
itakayoendana na kasi ya ukuaji wa teknolojia ya habari na mawasiliano
chuoni hapo.

Alisema baada ya kukamilika kwa ujenzi wa miundombinu chuo kitakua na uwezo wa kuchukua wanafunzi 3500 kutoka Afrika Mashariki.
“Tutaboresha
zaidi mitaala itakayoendana na kazi hiyo ya teknolojia na lengo kubwa
la Mradi huu ni kuleta Mapinduzi katika elimu ya Ufundi Afrika Mashariki
(EASTRIP).

Mwakilishi
kutoka nchini Kenya,Nelson Gitau alisema mradi huo kwao utahakikisha
elimu ya ufundi inakua juu na kwamba mtoto akitoka chuoni aweze kuingia
moja kwa moja na kufanya kazi viwandani na hata kujiajiri mwenyewe.

Mkuu wa kitengo cha Elimu kutoka Benki ya Dunia Dk.Xiaoyan Liang
amesema lengo la kufadhili mradi huo ni kuhakikisha unawajengea uwezo
vijana na kuzifanya nchi zinazotekeleza mradi huo zinakuwa uchumi imara
kupitia viwanda.

Pia
alisema mradi huo utawajengea uwezo wanafunzi kwa kuwa na ujuzi na kuwa
wabunifu katika miradi mbalimbali ya maendeleo pamoja na kuwaongezea
ujuzi.

Mkutano
huu inayofanyika kwa siku nne unahusisha washiriki kutoka
Kenya,Tanzania na Ethiopia nchi ambazo zinatekeleza awamu ya kwanza ya
mradi na unaratibiwa na Shirikisho la Vyuo Vikuu vya Afrika Mashariki ,
Benki ya Dunia na Wizara ya Elimu.