Breaking news : basi la bright line lapata ajali shinyanga…kuna vifo na majeruhiBasi la Bright Line lenye namba za
usajili T437DFJ lililokuwa linatoka Mwanza kwenda Dodoma limepata ajali
katika eneo la Isela barabara ya Shinyanga – Tinde baada ya dereva wa
basi akijaribu kumkwepa mwendesha pikipiki na kusababisha kugonga gari
dogo na kupinduka leo Jumatatu Januari 13,2020 majira ya saa nne
asubuhi. 


Taarifa za awali zinasema kuwa watu wawili wamepoteza maisha na majeruhi kadhaa.

Tutawaletea taarifa kamili hivi punde
Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *