Breaking news – imf yaifutia tanzania deni la dola mil14.3 za msamaha wa kodi

Image
“Bodi ya Wakurugenzi ya IMF imeidhinisha USD Mil 24.3 za msamaha wa kodi wa madeni tuliyokuwa nayo, na ni kwasababu tulipambana vizuri na corona,msamaha huu umekuja wakati muafaka nimepanga nitamuandikia Mkurugenzi Mkuu wa IMF kwamba wametambua juhudi zetu”-JPM