Chama
cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetangaza wagombea mbalimbali
wa uchaguzi ndani ya chama hicho ngazi ya kanda ambao wameteuliwa kwenye
kikao cha Kamati Kuu cha Novemba 23, 2019 ambapo mwanasiasa mkongwe,
Lazaro Nyalandu, amepitishwa kugombea uenyekiti wa kanda ya kati
akichuana na Alphonce Mbassa.

Nafasi
hizo za walioteuliwa ni mwenyekiti wa kanda, makamu mwenyekiti na mweka
hazina ambapo chama hicho kinatarajiwa kufanya uchaguzi mkuu Desemba
18, mwaka huu.