Mkuu wa wilaya na kamati ya ulinzi na usalama ya Jiji la Arusha wakikagua madarasa kwenye Shule ya Sekondari Sombetini jijini Arusha Jana picha na Ahmed Mahmoud Arusha. |
Na Ahmed Mahmoud Arusha
Mkuu
wa wilaya Arusha Gabriel Daqarro ametoa siku saba kwa kaimu mhandisi
wa halmashauri ya jiji la Arusha Samwel mshuza kuweka maji katika
jengo la upasuaji lililopo katika kituo cha afya Cha Muriet ili kuanza
shughuli za upasuaji.

Akizungumza
katika siku ya pili ya ziara yake alipotembelea kituo hicho katika
kukagua ujenzi wa njia yakutembea kwa miguu inayounganisha majengo yote
uliokamilika tarehe 4 March mwaka huu wenye ghara a ya shilingi milion
100 .

Mkuu huyo amesema
kuwa anatoa siku saba kwa mhandisi huyo kwani maji ni sehemu kubwa ya
kukwamisha wananchi kupata huduma ya upasuaji pamoja na shughuli
nyingine ndani ya majengo hayo.

Akiwa
katika shule ya sekondari Taret mkuu huyo amesema kuwa kabla ya mwaka
wa fedha kuisha majengo hayo yawe tamekamilika ili kuanza mwaka
mwingine wa fedha isiokuwa na Madeni ya nyuma.

”
Haitaleta maana nzuri kuona tunaanza mwaka mwingine tukiwa na Madeni
na kutokukamilisha baadhi ya majengo tunatakiwa kuanza mwaka na miradi
mingine sio ya viporo”. Alisema daqqaro

Hatar
hivyo mkurugenzi wa jiji Hilo Maulid Madeni amesema kuwa jiji
limesimamisha shughuli zote za kawaida ili kuweza kukamilisha majengo
yote .

” Mheshimiwa mkuu
wa wilaya tunatambua wewe ni msaidizi wa Rais ndani ya eneo Hilo naomba
nikuahidi jengo hili ndani yasiku 30 litakuwa limekamilika”.

mmoja wa wananchi wa eneo Hilo Abdala maguta amesema kuwa wanaishukuru
serikali kwa kuendelea kuboresha sekta ya elimu na kuwarahisishia
wanafunzi wengi kutokwenda mashule ya mbali