Dkt. abbasi akutana na kufanya mzungumzo na waziri dkt. mwakyembe

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji
mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akimueleza jambo Waziri wa Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe, walipokutana leo
Jijini Dodoma.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji
mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akiagana na Waziri wa Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe, walipokutana leo
Jijini Dodoma.