Ijue sayansi ya kusimama na kusinyaa kwa maumbile ya kiume ( sayansi ya nguvu za kiume)

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani.

Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ?
Ukosefu 
ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume 
kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu


Hatua  mbili  Muhimu 
Ili 
mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya 
tendo  la  ndoa, ni  lazima  maumbile yake ya kiume yapitie  hatua  kuu 
mbili  kama  ifuatavyo :

Hatua  ya  kwanza, ni  lazima  yaweze  kusimama  barabara  na  kuwa  magumu  kama  msumari.

Na 
hatua  ya  pili  ni  lazima, yaendelee  kusimama  kwa  muda  mrefu 
wakati  wa  tendo  la  ndoa.  Hatua  zote  mbili  zinapo  kamilika,
ndipo  tunapo  pata  kitu  kinaitwa  STRONGER  AND  LONGER  ERECTION

Endelea na Makala hii kwa <<Kubofya Hapa>.