Jaji kiongozi azungumza na majaji wa mahakama kuu ya tanzania

Jaji
Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Dkt. Eliezer Feleshi
akizungumza na majaji wapya wa Mahakama Kuu ya Tanzania, walioapishwa
leo ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
Mkuu
wa Chuo cha Uongozi wa Mahakama (IJA)-Lushoto (wa pili kushoto)
akifafanua jambo kwa majaji wapya wa Mahakama Kuu ya Tanzania
walioapishwa leo.
(Picha na Magreth Kinabo-Mahakama)