Jeshi la zimamoto na uokoaji lawatahadharisha wananchi kutothubutu kuvuka kwenye madaraja yaliyojaa maji…

Jeshi la Zimamoto na Uokoaji linawatahadharisha wananchi kutothubutu kuvuka kwenye madaraja au makaravati yaliyofunikwa na maji kwa sababu kuna uwezekano mkubwa wa kusombwa na maji kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *