Na Mapuli Kitina Misalaba
Wanawake wa Mkoa wa Shinyanga wameiomba Serikali
kuendelea kutatua kero na kushughulikia changamoto zinazowakabili katika Nyanja
za kiuchumi, kisiasa na kijamii.
Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wa Jukwaa la
uwezeshaji Wanawake kiuchumi Mkoa wa Shinyanga ambaye pia ni katibu wa jukwa
hilo Taifa Dkt. Regina Malima wakati
akisoma risala kwenye kilele cha maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani ambayo
katika Mkoa wa Shinyanga imefanyika kwenye uwanja wa Sabasaba Kambarage mjini
Shinyanga.
Mwenyekiti huyo pamoja na mambo mengine ameiomba
serikali kuendelea kuchukua hatua kali kwa watu wote wanaobainika kuhusika
katika vitendo vya kikatili dhidi ya Wanawake na watoto huku akiomba
kuharakisha zoezi la utoaji wa mikopo ya asilimia kumi inayotolewa kwa
wanawake, vijana na makundi maalum.
“Sisi
Wanawake wa Mkoa wa Shinyanga tunaiomba Serikali yetu sikivu inayoongozwa na
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hasssan kuendelea
kuchukua hatua kwa kutatua changamoto zinazowakabili Wanawake kuendelea kutoa
Elimu ya uwezeshaji kiuchumi sambamba na kuharakisha utoaji wa mikopo ya
asilimia kumi kwa Wanawake, Vijana na Makundi maalum, Lakini pia Elimu ya siasa
na uongozi iendelee kutolewa kwenye mikusanyiko mbalimbali hasa maeneo ya
vijijini ili tuweze kupata uwakilishi mzuri katika ngazi mbalimbali za uongozi
hususan kwenye agenda zinazohusu Wanawake”.
“Tunaiomba
Serikali kuendelea kuchukua hatua kali na stahiki kwa mujibu wa sheria za nchi
kwa wote wanaohusika katika vitendo vya kikatili dhidi ya Wanawake na Watoto
pia Serikali ihakikishe kuwa mila zinazokandamiza Wanawake zinaondoka na hivyo
kujenga jamii yenye maadili yenye usawa lakini pia Serikali ichukue hatua kwa
wale wote wanaojihusisha na kuwakopesha Wanawake mikopo yenye riba kubwa
(kausha Damu) kinyume cha sheria na taratibu za Nchi ili kunusuru Wanawake wengi
walioathirika na mikopo hiyo”.amesema Dkt. Regina
“Kwa
niaba ya Wanawake wote wa Mkoa wa Shinyanga tunaahidi kushirikiana na Serikali
kwa kuja na mikakati mbalimbali ya kuwakomboa Wanawake katika Nyanja za
kiuchumi, kijamii, kielimu, kiafya na kiutamaduni ili waweze kusonga mbele
katika ustawi wa maendeleo na pia tunaahidi kuchapa kazi kwa viwango ili
kuendelea kutetea heshima kubwa ya Mkoa wetu na Taifa “.
“Sisi
Wanawake wa Mkoa wa Shinyanga tunamshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutoa kipaumbele kwenye masuala
yanayohusu Wanawake hasa katika sekta ya Afya na sekta zingine kwani kupitia
uongozi wake ametuheshimisha na kuidhihirisha Dunia kuwa Wanawake tunaweza
kushika nafasi yoyote na kuleta mabadiliko makubwa’.amesema Dkt. Regina
Mgeni rasmi katika kilele cha maadhimisho hayo, Mkuu
wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme amesisitiza wanawake kushirikiana
katika kupinga vitendo vya ukatili wa kijinsia na kutoa taarifa kwenye mamlaka
husika juu ya vitendo vya ukatili vinavyofanyika katika jamii.
Misalaba Media imezumgumza na baadhi ya wanawawake
walio hudhuria maadhimisho hayo ambapo wamesema licha ya mafanikio
waliyoyafikia lakini bado kuna changamoto zinazowakabi hasa katika suala la
uchumi ambapo wameiomba Serikali kuharakisha mchakato wa mikopo yenye riba
nafuu inayotolewa na Halmashauri.
Aidha katika maadhimisho hayo,
Wanawake wafanyakazi Mkoa wa Shinyanga (TALGWU) wamekabidhi msaada wa chakula kwa ajili ya
watoto wanaolelewa katika shirika la Agape AIDS Control Programme huku Mtandao
wa Polisi Wanawake Mkoa wa Shinyanga (TPF- NET Mkoa wa Shinyanga) wakikabidhi
mifuko 31 ya Saruji kwa ajili ya ujenzi wa Bweni katika shule ya watoto wenye
mahitaji Buhangija Manispaa ya Shinyanga.
Maadhimisho ya siku ya wanawake hufanyika kila
ifikapo Machi 8 kila Mwaka ambapo kauli mbiu ya mwaka huu inasema “WEKEZA KWA
WANAWAKE KUHARAKISHA MAENDELEO YA TAIFA NA USTAWI WA JAMII”
Siku ya Wanawake Duniani ina historia yake na
ilianza kuadhimishwa Machi 8 Mwaka 1975 baada ya umoja wa mataifa kuridhia siku
hii kuwa siku rasmi ya kuikumbusha Dunia juu ya haki za Wanawake, kusherehekea
siku hii kumekuwa kukiongeza chachu katika harakati za mapambano katika kufikia
usawa wa kijinsia kwa Wanawake na Wanaume katika jamii.
Kwa kutambua umuhimu wa sikuu kuu hii, Nchi yetu pia
imekuwa ikitambua umuhimu wake na hivyo kushirikiana na Wanawake na jamii kwa
ujumla katika kusherehekea ikiungana na mataifa mengine Duniani kuadhimisha
siku hii.
Mwenyekiti wa Jukwaa la uwezeshaji Wanawake kiuchumi
Mkoa wa Shinyanga ambaye pia ni katibu wa jukwa hilo Taifa Dkt. Regina Malima akisoma risala kwenye
kilele cha maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani ambayo katika Mkoa wa
Shinyanga yamefanya kwenye uwanja wa Sabasaba Kambarage mjini Shinyanga leo
Ijumaa Machi 8,2024.
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme
akizungumza kwenye kilele cha maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani ambayo
katika Mkoa wa Shinyanga yamefanya kwenye uwanja wa Sabasaba Kambarage mjini
Shinyanga leo Ijumaa Machi 8,2024.
Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Mhe. Johari Samizi akizungumza
kwenye kilele cha maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani ambayo katika Mkoa wa
Shinyanga yamefanya kwenye uwanja wa Sabasaba Kambarage mjini Shinyanga leo
Ijumaa Machi 8,2024.
Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mhe. Mboni Mhita akizungumza kwenye kilele cha maadhimisho ya
siku ya Wanawake Duniani ambayo katika Mkoa wa Shinyanga yamefanya kwenye
uwanja wa Sabasaba Kambarage mjini Shinyanga leo Ijumaa Machi 8,2024.
Naibu Waziri ofisi ya Waziri kuu kazi, vijana na
ajira ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Shinyanga mjini akizungumza kwenye
kilele cha maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani ambayo katika Mkoa wa
Shinyanga yamefanya kwenye uwanja wa Sabasaba Kambarage mjini Shinyanga leo
Ijumaa Machi 8,2024.
Hafla ya kilele cha maadhimisho ya siku ya Wanawake
Duniani katika Mkoa wa Shinyanga
ikiendelea kwenye uwanja wa Sabasaba Kambarage mjini

Katibu wa chama cha mapinduzi CCM Mkoa wa Shinyanga Bi. Odilia Batimayo akizungumza kwenye

Naibu afisa uhamasishaji Mkoa wa Shinyanga ( MC Maconfidence) Lydia Angumbwike akizungumza kwenye
kilele cha maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani ambayo katika Mkoa wa
Shinyanga yamefanya kwenye uwanja wa Sabasaba Kambarage mjini Shinyanga leo
Ijumaa Machi 8,2024.
Burudani ikiendelea katika kilele cha maadhimisho ya siku ya Wanawake
Duniani ambayo Mkoa wa Shinyanga imefanyika katika uwanja wa Sabasaba Kambarage mjini Shinyanga
leo Ijumaa Machi 8,2024.

Kamanda wa jeshi la Polisi Mkoa wa
Shinyanga kamishna msaidizi mwandamizi wa Polisi SACP Janeth Magomi akicheza na
Wanafunzi katika kilele cha siku ya Wanawake Duniani.
Kamanda wa jeshi la Polisi Mkoa wa
Shinyanga kamishna msaidizi mwandamizi wa Polisi SACP Janeth Magomi akicheza na
Wanafunzi katika kilele cha siku ya Wanawake Duniani.
Hafla ya kilele cha maadhimisho ya siku ya Wanawake
Duniani katika Mkoa wa Shinyanga
ikiendelea kwenye uwanja wa Sabasaba Kambarage mjini
Shinyanga leo Ijumaa Machi 8,2024.
Hafla ya kilele cha maadhimisho ya siku ya Wanawake
Duniani katika Mkoa wa Shinyanga
ikiendelea kwenye uwanja wa Sabasaba Kambarage mjini
Shinyanga leo Ijumaa Machi 8,2024.
Hafla ya kilele cha maadhimisho ya siku ya Wanawake
Duniani katika Mkoa wa Shinyanga
ikiendelea kwenye uwanja wa Sabasaba Kambarage mjini
Shinyanga leo Ijumaa Machi 8,2024.
Hafla ya kilele cha maadhimisho ya siku ya Wanawake
Duniani katika Mkoa wa Shinyanga
ikiendelea kwenye uwanja wa Sabasaba Kambarage mjini
Shinyanga leo Ijumaa Machi 8,2024.
Hafla ya kilele cha maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani katika Mkoa wa Shinyanga ikiendelea kwenye uwanja wa Sabasaba Kambarage mjini Shinyanga leo Ijumaa Machi 8,2024.
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme
akizungumza kwenye kilele cha maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani ambayo
katika Mkoa wa Shinyanga yamefanya kwenye uwanja wa Sabasaba Kambarage mjini
Shinyanga leo Ijumaa Machi 3,2024.

Mtandao wa Polisi Wanawake Mkoa wa
Shinyanga (TPF- NET Mkoa wa Shinyanga) chini ya Kamanda wa jeshi la Polisi Mkoa
wa Shinyanga kamishna msaidizi mwandamizi wa Polisi SACP Janeth Magomi wakikabidhi
mifuko 31 ya Saruji kwa ajili ya ujenzi wa Bweni katika shule ya watoto wenye
mahitaji Buhangija Manispaa ya Shinyanga.
Mtandao wa Polisi Wanawake Mkoa wa
Shinyanga (TPF- NET Mkoa wa Shinyanga) chini ya Kamanda wa jeshi la Polisi Mkoa
wa Shinyanga kamishna msaidizi mwandamizi wa Polisi SACP Janeth Magomi wakikabidhi
mifuko 31 ya Saruji kwa ajili ya ujenzi wa Bweni katika shule ya watoto wenye
mahitaji Buhangija Manispaa ya Shinyanga.
Baadhi ya Mifuko ya Saruji kwa ajili ya ujenzi wa Bweni katika shule ya watoto wenye
mahitaji Buhangija Manispaa ya Shinyanga.
Zoezi la Wanawake wafanyakazi Mkoa
wa Shinyanga (TALGWU) kukabidhi msaada wa
chakula kwa ajili ya watoto wanaolelewa katika shirika la Agape AIDS Control
Programme likiendelea.
Kituo
hicho bado kinakabiliwa na changamoto ya chakula ambapo Mkurugenzi
wa shirika la Agape AIDS Control Programme ambaye pia ni msimamizi wa kituo
kinacholea watoto waliopitia ukatili wa kijinsia Bwana John Myola
anaendelea kuwaomba wadau kujitokeza ili kupunguza changamoto iliyopo.
Unaweza
kuwasiliana moja kwa koja na Mkurugenzi wa shirika la Agape 0623528183

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Shinyanga Mhe. Elias Ramadhan Masumbuko akizungumza kwenye
kilele cha maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani ambayo katika Mkoa wa
Shinyanga yamefanya kwenye uwanja wa Sabasaba Kambarage mjini Shinyanga leo
Ijumaa Machi 3,2024.