Kanisa la waadventista wasabato wazindua gazeti lao jipya ‘sauti kuu’ jijini dar

Askofu mkuu wa Kanisa la Waadventista Wasabato jimbo la Kusini mwa
Tanzania (Southern Tanzania Union STU) Mchungaji Mark W Malekana
akitambulisha gazeti la Sauti Kuu linalomilikiwa na kanisa hilo kwa
waandishi wa habari (Hawapo Pichani) jana Januari 23,2020.Utambulisho
wa gazeti hilo ulifanyika katika ofisi za makao makuu ya jimbo yaliyopo
Mbweni jijini Dar es saalam.
Askofu mkuu wa Kanisa la Waadventista Wa Sabato jimbo la Kusini mwa
Tanzania Mch. Mark Malekana (wa tatu kulia) akiwa na viongozi wa Shirika
la Vyombo vya habari vya Kanisa hilo (TAMC) wakiwa na nakala za Gazeti
la Sauti Kuu, lililotambulishwa kwa waandishi wa Habari mapema Jana
Januari 23,2020 . Kutoka kushoto ni Reuben Mbonea (Mhazini), Mch.
Christopher Ungani (Mkurugenzi mkuu) na Hosiana Mwasomola (Wa kwanza
kushoto, Mkurugenzi Mwenza).Utambulisho wa gazeti hilo ulifanyika katika
ofisi za makao makuu ya jimbo yaliyopo Mbweni jijini Dar es saalam