Kikao cha serikali na wamiliki wa vituo vya kulelea watoto wadogo, makao ya watoto yatima na wanaoishi katika mazingira hatarishi mkoa wa shinyanga

Na Mapuli Misalaba, Shinyanga

Serikali ya Mkoa wa Shinyanga kupitia Idara ya Ustawi
wa jamii imevitaka vituo 64 kati ya 88 vya kulelea watoto wadogo, makao ya
watoto yatima na wale wanaoishi katika mazingira hatarishi kusajili vituo
hivyo.

Rai hiyo imetolewa leo Alhamisi Julai 20,2023 na Afisa
ustawi wa jamii Mkoa wa Shinyanga Bi. Lydia Kwesigabo kwenye kikao cha pamoja
na wamiliki wa vituo vya kulelea watoto wadogo, makao ya watoto yatima na wale wanaoishi
katika mazingira hatarishi ambacho kimefanyika katika ukumbi wa mikutano ofisi
ya mkuu wa Mkoa wa Shinyanga.

Pamoja na mambo mengine Afisa huyo amesisitiza vituo
hivyo kuchukua hatua za haraka kukamilisha usajili.

Akizungumza katika kikao hicho Afisa maendeleo ya
jamii Mkoa wa Shinyanga Bwana Tedson Ngwale amewahimiza wamiliki wa vituo hivyo
kuongeza kutoa huduma za malezi kwa watoto ili waweze kukua katika maadili
mema.

Kwa upande wake afisa lishe Mkoa wa Shinyanga Bwana
Joseph Hamis amewaomba wamiliki wa vituo hivyo kuhakikisha watoto wanakula
vyakula vyenye virutubisho huku akisisitiza usafi ili kuepukana na magonjwa
mbalimbali.

Katika kikao hicho yamefanyika maadhimio ya pamoja
ambayo yamesomwa na Naibu katibu tawala Mkoa wa Shinyanga Dkt. Nuru Mpuya ambaye
pia ni Naibu mganga mkuu Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Shinyanga.

“Ifikapo
tarehe 30 Mwezi wa tisa (9) Mwaka huu 2023 tuwe tumekamilisha usajili vituo
vyote ukikutwa hujakamirisha vigezo hivyo wataalam kutoka Halmashauri watakuja
kuvifungia, tumeadhimia vituo vipya visianze kabla ya kukamilisha usajili,
lakini kingine tumeadhimia kuwa na vikao vya wataalam wa Halmashauri na
wamiliki wa vituo hivi mara mbili au mara nne kwa Mwaka adhimia lingine
wamiliki wa vituo kuhakikisha wanatuma taarifa za kila robo ya huduma
mnazozitoa”.
amesema Dkt. Nuru 

Baadhi ya wamiliki wa vituo vya kulelea watoto wadogo,
makao ya watoto yatima na wanaoishi katika mazingira hatarishi wameahidi kwenda
kutatua changamoto zilizopo huku wakitaja changamoto zinazokwamisha usajili
ikiwa ni pamoja na changamoto ya uchumi kwa wamiliki.

Afisa ustawi wa jamii Mkoa wa Shinyanga Bi. Lydia
Kwesigabo akiwahimiza wamiliki wa vituo vya kulelea watoto wadogo, makao ya
watoto yatima na wale wanaoishi katika mazingira hatarishi Mkoa wa Shinyanga
kutekeleza majukumu yao kwa kuzingatia sheria na taratibu zilizopo.

Afisa maendeleo ya jamii Mkoa wa Shinyanga Bwana
Tedson Ngwale akiwakumbusha mambo muhimu mbalimbali wamiliki wa vituo vya
kulelea watoto wadogo, makao ya watoto yatima na wale wanaoishi katika
mazingira hatarishi katika ukumbi wa mikutano ofisi ya mkuu wa Mkoa wa
Shinyanga.

Naibu katibu tawala Mkoa wa Shinyanga Dkt. Nuru Mpuya ambaye
pia ni Naibu mganga mkuu Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Shinyanga akitaja
maadhimio mbalimbali waliyokubaliana katika kikao hicho cha wamiliki wa vituo
vya kulelea watoto wadogo, makao ya watoto yatima na wale wanaoishi katika
mazingira hatarishi.

Kikao cha serikali na wamiliki wa vituo vya kulelea
watoto wadogo, makao ya watoto yatima na wale wanaoishi katika mazingira
hatarishi kikiendelea leo Alhamisi Julai 20,2023 katika ukumbi wa mikutano
ofisi ya mkuu wa Mkoa wa Shinyanga.

ofisi ya mkuu wa Mkoa wa Shinyanga