Majaliwa akagua maandalizi ya ofisi za muda za halmashauri ya mtama

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na Watumishi wa Halmashauri ya Mtama baada ya kukagua
maandalizi ya ofisi za muda za halmashauri hiyo Oktoba 17, 2019. Kushoto
ni Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akikagua maandalizi ya Ofisi za muda za Halmashauri ya Mtama Oktoba 17,
2019. Wa pili kulia ni Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye na Wa tatu kulia ni
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mtama, M. Matei.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akikagua maadalizi ya Ofisi za muda za Halmashauri ya Mtama mkoani,
Lindi, Oktoba 17, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *