Majaliwa ashiriki katika mazishi ya kaka yake mzee bakari majaliwa

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akitupa udongo kwenye kaburi la kaka yake, Mzee Bakari Majaliwa katika
mazishi yaliyofanyika kwenye kijiji cha Nandagala wilayani Ruangwa,
Novemba 6, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza katika sala ya kumwombea marehemu kaka yake, Mzee Bakari
Majaliwa iliyofanyika nyumbani kwa marehemu katika kijiji cha Nandagala
wilayani Ruangwa, Novemba 6, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na Inspekta Jenerali wa Jeshi la Polisi, Simon Siro katika
mazishi ya kaka yake Waziri Mkuu, Mzee, Bakari Majaliwa
yaliyofanyika  katika kijiji cha Nandagala wilayani Ruangwa, Novemba 6,
2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu,
Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa
Taifa, Diwani Athumani katika mazishi ya kaka yake Waziri Mkuu, Mzee,
Bakari Majaliwa yaliyofanyika  katika kijiji cha Nandagala wilayani
Ruangwa, Novemba 6, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa
na baadhi ya viongozi walioshiriki katika mazishi ya marehemu kaka
yake, Mzee Bakari Majaliwa yaliyofanyika katika kijiji cha Nandagala
wilayani Ruangwa , Novemba 6, 2019. Kutoka kushoto ni Naibu Waziri,
Ofisi ya Waziri Mkuu, Anthony Mavunde, Inspekta Jenerali wa Jeshi la
Polisi, Simon Siro, Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi, Mkuu wa
Majeshi ya Ulinzi, Venance Mabeyo na kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Idara
ya  Usalama wa Taifa, Diwani Athumani. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akiongozana na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali, Venance Mabeyo
(kushoto), Inspekta Jenerali wa Jeshi la Polisi, Simon Siro (wa pili
kulia) na Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa, Diwani Athumani
(kulia) baada ya wote kushiriki katika mazishi ya kaka yake Waziri Mkuu,
Mzee, Bakari Majaliwa yaliyofanyika katika kijiji cha Nandagala
wilayani Ruangwa, Novemba 6, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Venance Mabeyo
katika mazishi ya kaka yake Waziri Mkuu, Mzee Bakari Majaliwa
yaliyofanyika katika kijiji cha Nandagala wilayani Ruangwa, Novemba 6,
2019. Wa pili kulia ni Inspekta Jenerali wa Jeshi la Polisi, Simon
Siro.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akishirika katika sala ya kumwombea marehemu kaka yake, Mzee Bakari
Majaliwa iliyofanyika katika kijiji cha Nandagala wilayani Ruangwa,
Novemba 6, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *