Mama salma kikwete achukua fomu ya ubunge jimbo la mchinga

Mke wa Rais wa Awamu ya nne Mama Salma Kikwete (kulia) leo Julai 15, 2020 amechukua Fomu ya kuomba ridhaa  ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kugombea Ubunge Jimbo la Mchinga Mkoa wa Lindi.