Mama salma kikwete atua burundi kuhudhuria mkutano wa kimataifa wa wanawake viongozi


Mke wa Rais Mstaafu na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mhe. Mama Salma Kikwete jana ameungana na Viongozi mbalimbali Wanawake katika hafla ya kuelekea Mkutano wa Kimataifa wa Wanawake Viongozi unaofanyika nchi Burundi huku mwenyeji wa Mkutano huu akiwa ni Mke wa Rais wa Burundi Mhe Denise Nkurunziza